Kilimanjaro Stars yaaga rasmi CECAFA baada ya kufungwa na Rwanda goli 2-1. Hii Timu Inakera kuliko Kawaida

Taifa stars waitwe wachezaji wote wa Zanzibar heroes..waongezwe Samatta na Msuva tu..tutaenda AFCON
 
huu ujinga nilishastaafu siku nyingi sana. nawaachia wengine nao wapate experience ya maumivu.
 
Uzuri umekosoa lugha badala ya kuchangia mawazo.Nakusifu kwa kujua sarufi maandishi vema
 
Timu ya taifa inashindwa kufanya vzuri ni kutokana na mandalizi afifu kwa wachezaji na timu nzima kwa ujumla.Hivyo hupelekea mara kwa mara kufungwa na team pinzani.kocha angalie alipokosea ili kwny michuano mingine tufanye wonders
 
Wadau nahitaji namba za MTU aitwaye Ami ninje.nataka tu nimshauri ajiuzulu arudi uingereza kwa dadaake akaendelee kufundisha timu za mtaani atuachie soka letu LA bongo tuuuane sisi wenyewr
 
Wadau nahitaji namba za MTU aitwaye Ami ninje.nataka tu nimshauri ajiuzulu arudi uingereza kwa dadaake akaendelee kufundisha timu za mtaani atuachie soka letu LA bongo tuuuane sisi wenyewr
kweli huyo jamaa kuna kitu kajifunza badala ya yeye kuifundisha timu yeye ndio kapata faida zaidi ya kujifunza zaidi mpira kuwa asichukulie poa soka la afrika kama alivyokua analichukulia awali maana katika interview yake jana kasema wazi kuwa "kumbe kwenye competition kama hizi inabdidi ujiandae 100 or 120% " so kwa hali ya kawaida unaona huyu mtu alikua anajua soka la afrika ni hovyo hovyo tu kama yeye alivyokuja kuichezea stars enzi zile za prof mshindo msolla akitokea kuchezea timu ya mtaani kwake siku za jumamosi kama bonanza pale Reading Berkshire huku akiwa mfanyakazi wa Maiwand Lion in Forbury Gardens
 
Huyu jamaa kafaidi kujiongezea yeye ujuzi na siyo kuisaidia timu
 
Huyu pre luminary coach Ami ninje ni useless kabisa yani hii timu angepewa kocha yoyoye Wa VPL Wa tz tungeenda semifinals ,jamaa mjanja mjanja sana aachanae Na timu yetu ya taifa it's shame kuitumia timu ya taifa kwenda kujaribia mifumo tena kWenye mashindano makubwa kama haya , useless kabisa wachezaji hawahawa mayanga kafika nao third place cosafa yeye kaja Na mifumo yake isiyojulikana and this is a blame to TFF too, huyu jamaa hajafundisha hata second division huko UK then unampa national team kweli?? You people stop working with our football
 
Back
Top Bottom