Recent content by kodi ya Tanzania

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

    Uongo hiyo ni ishara ya yeye kusaidiwa na mitambiko yao dhidi ya maadui
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Namimi nafikiri nitaingia kwenye list hii
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    We nae kujitia ujuaji khaaa? Umekomaaaaa ujue unatukela wasomaji?, tunakuona bwege tunaojua biashara
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani ulitumia hadi ukawa Tajiri?

    To be honestly kwa mganga ,ila si kwamba alinipatia mamilioni no alinipanga sawa na nikaanza na biashara ya kawaida ila baadae daaah AHSANTE MUNGU ,AHSANTE MGANGA wa kweli. Dunia ina mambo kufanikiwa kuna njia nyingi sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza bracelets kwa bei ya jumla

    Ingekua bukubuku ama 800 mbona ningezizoa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    We ni mpumbavu sana ,unastahili kufujuzwa kwenye hili jukwaa daah uzi gan huu jmn
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoenda kwa mganga hakirudi! Je, wajua kinaenda wapi?

    Not true ,unajua waganga wengi wanapigwa vita na waganga wenzao? Adui wa mganga wa kwanza ni mchawi wa pili ni mganga mwenzake ,mganga akimuona mwenzie uganga umewaka na anapiga pesa ama kuponya watu afu yeye hana maajabu huumia sana na kutaka kumdhofisha mwenzie, kwenye haya maisha acheni watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Zina masharti mkuu ipo sio ya kunywa unafunga tuu kiunoni mpigi zake ila hakikisha zisidondoke zenyewe, inabidi uzifungue wewe kama wewe zikijidondokea hutazaa milele
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    Nina kuku wa kienyeji mia moja anaehitaji anicheki Dm , bei ni 19000 kwa jumla narudia ni kienyeji pure
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Daaah hili jibu limenifurahisha kwakweli ,kwa hiyo jamaa ni mjinga [emoji23]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mkuu tuwasiliane nimejaribu kuku pm imegoma.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Weka picha na bei sasa daah yan hadi mkumbushwe
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

    Kwa wewe utalipa mbn ,ke kabisaaaa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Roho mbaya iliyo pitiliza hii khaaaa yaaan uwaue kweli? Ninyi ndo hutia watu umasikini
Back
Top Bottom