Recent content by KODHLUOCH

  1. K

    Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

    ndugu watanzania naomba anayeju umabali toka bandari ya dar es salaam hadi singida aniambie,asanteni.
  2. K

    Vijana Rorya wamelala

    nimefurahi kuona maoni yako na ni vizuri sana kuwa wanarorya wanajitokeza kuelewa maeneo yenye matatizo zaidi. Ila ningeshauri wanarorya kukaa chini na wadau wote na kutambua na kuchambua matatizo yote ya rorya,baada ya hapo tuamue jinsi gani tunaweza kuyatatua bila wengine kulalamika hiki ama...
  3. K

    Vijana Rorya wamelala

    jatelo nimekukubali kabisa,kukosekana kwa elimu ya kutosha,uchawi,na wivu usio na msingi umechangia umaskini rorya. Nataka nije na intensive education kwa vijana kuwapa nguvu na kuwapanua mawazo yao ili wajue haki zao za kimsingi,nitafanya mbinu za ziada kuleta huduma zote muhimu karibu...
  4. K

    Vijana Rorya wamelala

    jatelo nimekukubali kabisa,kukosekana kwa elimu ya kutosha,uchawi,na wivu usio na msingi umechangia umaskini rorya. Nataka nije na intensive education kwa vijana kuwapa nguvu na kuwapanua mawazo yao ili wajue haki zao za kimsingi,nitafanya mbinu za ziada kuleta huduma zote muhimu karibu...
  5. K

    Vijana Rorya wamelala

    MHESHIMIWA SASA NAONA TUNAELEKEA MRENGO WA PAMOJA, TENA MAENEO ULIYOYATAJA NDIYO KABISAA YANAHITAJI NGUVU ZA ZIADA, MIKAKATI YANGU NI MENGI IKIWEMO ELIMU KWA KILA NYUMBA,BIASHARA,MFUKO WA MAENDELEO,WAWEKEZAJI WA ULAYA KWA VIJANA WA ROYA(NINAO TIYARI USIJE UKANIULIZA NITAWAPATA WAPI)WAKO TIYARI...
  6. K

    Vijana Rorya wamelala

    mkurugenzi mimi sijakushawishi nimekwambia kuwa kuna umuhimu vijana kuamka na kutokuwa dormant kwenye maswala ya rorya,mapungufu yetu ni mengi ambayo si rahisi kuyaweka pamoja kwenye kipande hichi ila kwa kifupi najua unaelewa vijana wetu wanhitaji elimu,kazi,biashara na ushiriki mpana na wenye...
  7. K

    Vijana Rorya wamelala

    cmm ndiyo chama cha msingi yenye sera za kutekelezeka kinachohitajika ni uongozi bora na yenye kuleta changamoto za maendeleo.
  8. K

    Vijana Rorya wamelala

    kosa la peter ni kujiita jaluo. Kodhluoch ni sifa. Jaluo ni kabila,jakine,jasurwa,jaacha. Janam ni sifa, ja mach ni sifa. Etc kodhluoch
  9. K

    Vijana Rorya wamelala

    MIMI NDIYE KODHLUOCH LAZIMA NIWAAMSHE NA WAJUE KWANZA HAKI ZAO NA NAFASI ZAO KAMA VIJANA WA RORYA NA KITU GANI KINAHITAJIKA TOKA KWAO KAMA VIJANA WA RORYA NA TANZANIA, UMUHIMU WAO KWENYE JAMII NA SABABU ZA MSINGI ZINAZOHITAJI VIJANA WAAMKE KULIKO WAZEE. KWANZA KUWA KIJANA RORYA NI HAKI YAKO...
  10. K

    Vijana Rorya wamelala

    wuo jaduong nitakuunga mkono tu pale utakaponiconvince na hoja sina ushabiki, mimi ni mwana siasa na mwanarorya mwenye uchungu sana na sitahitaji na sitakuwa tiyari kushabikia tu mwenye haja ya kuwa mbuge rorya bila kunipa hoja la kunigusa ama kuwagusa wanarorya kwa ujumla. Kodhluoch.
  11. K

    Vijana Rorya wamelala

    MWAKANI KWENYE KURA ZA MAONI TUNAHITAJI USHINDI WA HOJA NA VISION YA WAGOMBEA ATAKAYETUELEZA KUWA ATAFANYA NINI NA AWE MTU SAFI NA UPEO MPANA WA KULETA MAENDELEO. PILI NINGEWAASI WANARORYA HASA VIJANA KUACHA KULALA WAAMKE WACHUE OPPORTUNITIES AMBAZO SERIKALI INATOA KUPITIA TAASISI ZAKE.TUACHE...
  12. K

    Vijana Rorya wamelala

    bwana sos peter jaluo,kusimama si tatizo la rorya wengi wanasimama je unanini cha kusimamia rorya. Pili ningeshauri uache hiyo jina la jaluo,rorya is multi lingual constituency hatutahitaji majina yanayoonyesha direct tribal,hiyo jina unaweza kulitumia vizuri sana kwenye matambiko yako kuomba...
  13. K

    Vijana Rorya wamelala

    Nashangaa vijana wengi wamekuwa kimya na kutoongelea maswala makuu yanayoisibu Rorya,wamebaki kuwa watazamaji tu. Amkeni sasa kodhluoch yuko nanyi 2015,kwa maswala yote ya kiuchumi.
  14. K

    Wana Rorya

    kodhluoch. Mimmi nashangaa watu bado wanakuwa na majina yenye ukabila ndani yake,jifunzeni na muache kumwangusha mwalimu nyerere baada ya kazi nzuri aliifanya na kutuachia watanzania. Ni aibu kuona watu bado wanajivunia kujiita jaluo,jakine and the rest for what, give yourself and public name...
Back
Top Bottom