Recent content by Kocho

  1. Kocho

    JamiiForums Tanzania Wanaokwepa Serikali 3 wajiulize Mh Pinda anaongoza serikali ipi? a.k.a Tanganyika

    ndio maana unajiita makusudically, serikali 2 ni wizi wa mchana tumeshtuka Zanzibar
  2. Kocho

    JamiiForums Tanzania Wahusika wa Muungano sio Pius Msekwa pekee yupo Abdallah Rashid kwa Znz kwa nini hamkumuita Dodoma

    hakuna asietaka muungano ila uwe wa kuridhiana sio mabavu
  3. Kocho

    JamiiForums Tanzania Wanaokwepa Serikali 3 wajiulize Mh Pinda anaongoza serikali ipi? a.k.a Tanganyika

    wadau kwa wale wote wanaosema kwamba serikali 3 ni gharama mbona huo mfumo upo na ndio tulionao kwa sasa na unafnya kazi vizuri tu, serikali ya 3 raisi wake ni Mh Pinda ila kabadili jina tu anaitwa waziri mkuu je hapo kuna shida gani tume kuiweka wazi hyo serikali ya Mh Pinda yaani Tanganyika Mh...
  4. Kocho

    JamiiForums Tanzania Wahusika wa Muungano sio Pius Msekwa pekee yupo Abdallah Rashid kwa Znz kwa nini hamkumuita Dodoma

    Hati halali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haiko UN, kuna ya Tanganyika tu,ambayo Nyerere aligushi mambo mengi. Hati ya Zanzibar ni ile ya Muungano wa Muda wa miaka 10 tu , lakini kwa undumi la kuwili wa Juliasi hio hati hakuipelekwa UN na kilichopelekwa ni hati ya upande mmoja tu wa...
  5. Kocho

    JamiiForums Tanzania Landmark hotel: Kongamano kuhusu katiba mpya tarehe 5 April, 2014

    kaka hyo yenye blue ni ya Zanzibar hahaaaaa inauma eeh tapika nyongo bac
  6. Kocho

    JamiiForums Tanzania Post Muungano Zanzibari kunawiri

    wana uraia na Zanzibar wanakuja kama raia wakigeni kutalii sasa cjui Tanganyika kuna nini kikubwa hata wacwe na ubavu wa kuwa raia huko Ulaya ya Tanganyika.
  7. Kocho

    JamiiForums Tanzania Post Muungano Zanzibari kunawiri

    kaka wazanzibar wako wengi uk kuliko Tanganyika so waacheni warudi tu nyumbani nafac zipo nyingi tu za kuishi
  8. Kocho

    JamiiForums Tanzania Post Muungano Zanzibari kunawiri

    hahaaaaaa Zanzibar na sudani ya kusini kuna tofauti kubwa kaka utamaduni, asili, dini Zanzibar inalindwa na uislamu tuko based na Mungu wetu Allah so we endelea kuota tu insha Allah atuepushe na hizo dua za kuku
  9. Kocho

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar alidai hati zipo Ikulu

    nikikuita m pu mbav nimekosea! rejea maneno ya mwanasheria wa Zanzibar alipo sema bungeni ile ni public document kila raia ana haki ya kuona ccm kweli janga mtaficha ukweli mpaka lini, you can fool some ppl some time but you cant fool all ppl all time, by bob marley
  10. Kocho

    JamiiForums Tanzania Landmark hotel: Kongamano kuhusu katiba mpya tarehe 5 April, 2014

    acha upu mba vu sudani na Tanzania wapi na wapi sudani ilikua nchi moja review Tanganyika na Zanzibar ndio nyinyi wadanganyika mlio potoka Tanganyika ndio Tanzania Zanzibar wanataka nchi yao wameshtuka na huu muungano wa kisanii hauna hata hati hizo ziliopo pia ccm wana chakachua saini.
  11. Kocho

    JamiiForums Tanzania Landmark hotel: Kongamano kuhusu katiba mpya tarehe 5 April, 2014

    wadau kuna kituo chochote cha tv au radio kinarusha matangazo live kutoka landmark hotel tunaomba mtujulishe
  12. Kocho

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar alidai hati zipo Ikulu

    sasa inafichwa ili iweje kwa sasa tuna muungano wa ASP na TANU tu sio Tanganyika na Zanzibar na hawa maccm cjui yanishi dunia gani watamdanganya nani na ulimwengu huu wa .com
  13. Kocho

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nje ya muungano itakua mbali kiuchumi na kutoa misaada hata nchi jirani ya Tanganyika

    Tanganyika ndani ya muungano ni mafisadi, wauza dawa za kulevya, majangili wa kuua tembo, wezi wala rushwa ......... ongezea mengine
  14. Kocho

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nje ya muungano itakua mbali kiuchumi na kutoa misaada hata nchi jirani ya Tanganyika

    chuki binafsi zitakuua tafuta record kati ya nchi za afrika mashariki ni watu gani wakarimu kama sio wazanzibar tatizo kubwa kwa Zanzibar ni ccm kukubali kupewa vyeo huko Tanganyika na wanafanya hivo kwa sababu wana ufinyu wa elimu nje siasa hawawezi kujiendesha khofu yo kaa cu atachukua...
  15. Kocho

    JamiiForums Tanzania Kinana: Tujilaumu kwa Katiba ya Zanzibar

    kumuondoa rais wa Zanzibar kama makamo wa rais wa muungano sio kosa kosa kusema Zanzibar nchi tokeni povu tu imekula kwenu majangili wakubwa
Back
Top Bottom