President John Magufuli was inaugurated on Thursday, November 5th as president of the United Republic of Tanzania for a second and final term just days after a chaotic election known in the history of the East African nation. Magufuli won a second term in an election that was marred by violence...
Mkuu kwanza Pole sana kwa hilo jaribu ulilonalo. Kama wengine waliotangulia kukushauri. Hauna sababu ya kulipiza kisasi. Mwenye kulipa kisasi ni Mwenyezi Mungu. Sijui ww ni dhehebu gani, ila Wakristu Biblia inatuambia usimuache mkeo ila kwa zinaa. Huyu ameshazini nje tena na Mume wa Mama ake...
Bro.Chahali. Popote ulipo,naomba nikusalimu kwa jina la Bwana. Nimekuwa nafuatilia kwa karibu sana mada zako na mawazo yako kuhusu Taifa letu na mustakabali wake kiusalama na Taasisi yetu pendwa ambayo kulingana na maandishi yako ulikula kiapo cha kuitumikia. Kaka,ninapoandika maneno haya moyo...
Habari wana Bodi.
Ni muda sasa nimekuwa najiuliza inawezekanaje serikali kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Taasisi Binafsi alafu Mkaguzi wa Hesabu za serikali hawezi kufanya ukaguzi wowote katika hayo mashirika? Nimejaribu kufanya kauchunguzi kangu kadogo, kuna taasisi za utafiti wa mazao...
Habari za jioni wana bodi.
Hili tukio limetokea usiku wa kuamkia jana,ila nimeona niliweke leo ili wahusika walifanyie kazi maana vitendo hivi vimekithiri eneo hilo.
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamewavamia watu wawili waliokuwa wamepanda piki piki usiku wa saa tisa alfajiri ya tarehe...
Ni vyema tukajua sample of the total population. Maana kusema tu mfano 70% ya waliopimwa haitoi majibu sahihi. Kumbuka kipimo kile ni cha gharama kubwa,kwa hivyo ni watu wa kariba fulani tu ndio ambao wanaweza kumudu kufanya kipimo hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.