Naungana na mkuu lumbe kwa kiasi, lakini nina mtizamo tofauti kwangu binafsi naona muda wa kufanya tafiti pindi mtu anapokuwa chuoni ni mdogo sana, na nadhani hata wakubwa wote wa serikali wamepitia huko that`s why they don`t have time kupitia hizo research I suggest to extend muda wa kufanya...
Nini form iv Div. four mfumo mzima wa elimu Tanzania ni mbaya tangu awali mimi nilifundishwa na waalimu walioitwa UPE yaani niite Ualimu pasipo Ualimu sasa imagine, wewe ni mmojawapo inauma kwa elimu kuchezewa namna hiyo wengi wetu ni uwezo wa Mungu kufika hapa tulipo na sidhani kama Taifa...
Jamani tuache siasa katika mambo ya msingi Elimu ni issue ya msingi soni sababu ya kumzuia Prof. Baregu kufundisha pale UDSM kwani anafundisha siasa za Chadema? mnasema amekiuka taratibu za serikali zipi? yeye ni mwanajeshi aua Polisi na Magereza? hao ndio najua kuwa hawtakiwi kujihusisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.