Recent content by kmhinda

  1. kmhinda

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Mbinga, Ruvuma nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae aje huku mimi niende Tanga au moshi Kilimanjaro Contact: 0745529919/0739529919
  2. kmhinda

    Kama elimu ni bure, kwanini ajira iwe lazima?

    Wanaolalamikia ajira ni ambao hawakunufaika kabsa na hii elimu bure. Mi naona ili mada iwe na mashiko kidogo ungesema nin kifanyike katka mitaala ya elimu yetu nchin ili kuondokana na fikra ya mtu kuwaza kuajiria pindi amalizapo elimu yake.
  3. kmhinda

    Kama elimu ni bure, kwanini ajira iwe lazima?

    Kwan elimu bure imeanza lini. Ukijua elimu bure imeanza lin hutasema kuhusu wao kulilia ajira
  4. kmhinda

    TCU Kuomba vyuo mwaka huu

    yap na washaomb wengne
  5. kmhinda

    Wanao hitajika kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

    kinachotakiwa kwa wale wenye sifa za chuo ni kuandika barua kwnda makao makuu ya jkt kua unaahirisha kwenda jesh had hapo utakapomaliza masom yako ya chuo
Back
Top Bottom