Kama elimu ni bure, kwanini ajira iwe lazima?

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,750
1,599
Mliosoma bure kwanini na nyie mnadai ajira? Kwanini msijitolee? Cha bure hakina thamani, hata anayekitoa hakithamini ndio maana anakitoa bure.

Kwanini wewe unayepewa bure udhani kinathamani? Mnaosoma bure jitoleeni, jiungeni UVCC muwe mnachimba hata mitaro bure.

Watu hamnashukrani!
 
Kwanza Inatakiwa Tuwaulize Wanasoma Ili Waje Wafanye Nini! Utasikia Mimi Nasoma Niwe Fulani Niwe Na Nyumba Nzuri Gari N.k Kiurahisi Tu Namna Hiyo Kuna Haja Wizara Ya Elimu Ibadilishe Mfumo Wa Ufundishaji Badala Ya Mtu Kufundisha Kutegemea Ajira Afundishe Namna Ya Kuja Kupambana Na Hali Halisi Ya Maisha Ukienda Japan Unakuta Njemba Ina Digree Ni Dereva Siyo Kwamba Ajira Hakuna Ila Waliandaliwa Kiuhalisia Siyo Kumezeshwa Ujinga Ukija Mtaani Hali Tofauti Halafu Wasomi Wetu Mnalilia Ajira Je Wenzetu Ambao Hawakusoma Wafanye Nini? Njooni Tuungane Hamkutoka Mbinguni Bali Ni Huku Huku Mtaani Na Hali Halisi Mnaijua Ila Mashauzi Ndiyo Yamewazidi Kwa Kujifanya Ndiyo Kundi Maalum
 
Hahaha halafu elimu wamepewa bure na kazi wanataka wapewe tu!
 
Hahaha hata kama imeanza saa hii ukisoma bure hakuna ajira! Ulipwe kwa lipi?!
Wanaolalamikia ajira ni ambao hawakunufaika kabsa na hii elimu bure. Mi naona ili mada iwe na mashiko kidogo ungesema nin kifanyike katka mitaala ya elimu yetu nchin ili kuondokana na fikra ya mtu kuwaza kuajiria pindi amalizapo elimu yake.
 
Hahaha kwani kuna mtu analazimishwa kusoma?! Kama kuna ulazima huo mbona wapo wengi hawajasoma?! Wakasomee hata ufundi saa waache kung'ang'ania PhD zisizo wasaidia kitu?! Veta kuko wazi wao wamejazana huko vyuo vikuu, halafu wanataka ajira ebo!
 
Elimu bure ni kuanzia darasa la kwanza hadi form four... Hvyo basi wanao maliza form four hawana mda wa kulilia ajira...ila kuanzia ngazi ya certificate,diploma,bachelor n.k wana haki ya kulili ajira...sababu tayari wametumia gharama kubwa kusoma...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom