Recent content by kmbiligi

  1. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Toleo la 2015 na 2008
  2. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Naomba kujua bei ya 4x4 ranger kampuni ya Ford used car na brand new
  3. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Anayejua historia fupi ya Abdul Mohamed mtangazaji wa Azam

    Habari, Naomba kujua nani anayefahamu historia fupi kuhusu mtangazi wa zamani Clouds, BBC na kwa sasa Azam, Abdul mohamed anatokea mkoa gani? Mwenye uelewa please
  4. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habar, nipo halmashauri ya Kyerwa-Kagera natafuta mwalimu wa kubadilishananae kituo cha kazi upande wa secondari kutoka halmashauri ya sengerema, Geita, Nyamagana, Ilemela&Magu..phone no.0764-446452
  5. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari, nipo Halmashauri ya kyerwa-Kagera natafuta mwalimu wa kubadilshananae upande wa secondary,kutoka Halmashauri ya Geita, sengerema, Magu, nyamagana&Ilemela..phone no.0764446452
  6. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya Kyerwa Kagera, mim nije halmashauri yeyote ya Mkoa wa Mwanza idara ya sekondari..0713220383/0783268043
  7. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

    Mimi ni mfuasi mkubwa wa mrishi mpoto na msanii mkubwa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla..napenda kujua kwanini huyu jamaa hapendi kuvaa viatu, naomba anayejua siri ya mafanikio yake aniambie.
  8. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

    Mimi ni mfuasi mkubwa wa msanii mkubwa sana hapa Tz na anayetambulika Afrika kwa ujumla Mrisho Mpoto,nataka kujaua kwa kina zaid kwanin huyu jamaa havai viatu wala baadhi ya mavazi km nguo za kisasa, kwanini aliamua kutembea peku mda mwingi? Nani anajua siri yake anifahamishe
  9. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume marijali kama mimi

    hahahaha...Ya mwl.hataree xn nmeipenda hyo
  10. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2015

    Habari,Ebu tuchambue kidogo siasa ya Tz kuelekea uchaguzi mkuu wa urais mwakani,nani anastahili kuwa rais wetu na kiongozi mwenye maadili ya kulibeba Taifa hili kati ya hawa:-Bernad membe,Edward Lowassa,January Makamba,Dr.wilbroad slaa,Wasira na Sumaye...tunatakiwa tupate kiongozi mashuhuri...
  11. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Nani hataki ajira...ajira n ajira ht km lak 2 kwa mwez,ukiwa na kitu ni rahisi kupata kitu.
  12. kmbiligi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Huenda wakatangaza wiki ijayo
Back
Top Bottom