Recent content by km4

  1. km4

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Nakumbuka mwaka jana mwezi wa saba natoka dar na CITY BOY tulipokaribia manyoni basi likagongana uso kwa uso na CITY BOY ya kutoka mwanza zaidi ya watu 30 walipoteza maisha nashudia Mungu saidia skuumia hata kidogo.sitaisahau sku hyo maishani
  2. km4

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    Na wewe usiishie kulalamika tuambie n mfumo upi utakaotufikisha katika matamanio hayo? Katba mpya wameikalia unataka tumulaumu Nan kama sio ccm? Kwa akili zako tatzo la mikataba mibovu ya madini solution n kumtumbua muhongo? Mikataba ilikuwa inasainiwa mpaka hotelin wapinzani walipohoji...
  3. km4

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Hakuna kitu kibaya kama njaa
  4. km4

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe.John Heche hali yake sio nzuri, apandishwa ndege kuwahishwa Muhimbili

    Anaumwa nn? Hali mbaya tuuu what is wrong?
  5. km4

    JamiiForums Tanzania Mwana Jf; Post gani au uzi gani uliwaowahi kukufurahisha hapa Jf?

    Geronimo ,EKIA
  6. km4

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Pascal mayala ndo uliyeitwa njaaa sku ile ikulu au mwingne? S kwa kujipendekeza uko ,au mpaka utekwe wewe ndo utagutuka eee.watch it!!!!!
  7. km4

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

    Kwan kuonesha vyeti inahitaji mda gan? We need certificates
  8. km4

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    Authority and power is dangerous without leadership skills by Maigwa Mp
  9. km4

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko: Serikali ichunguze kama Bangi haina madhara waruhusu kuwa zao la biashara

    Viroba na bangi kip kinamazara makubwa
  10. km4

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Zahanat ni haki yao na ni wajibu wa serkali kuwajengea na sio mbunge
  11. km4

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Every thing you do is politics ,watumish wa Mungu wanakaaa mbinguni? Mtumumish yup wa dini hajihusish na siasa?
  12. km4

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2016/2017 imebakiza miezi mitatu muda wake uishe,je imeleta mabadiliko huko kwenu?

    Kwan imeshaanza kufanya kaz?
Back
Top Bottom