Namkubali sana Tundu Lissu Ila ningekua mwanasheria kura yangu ingeenda kwa Lau Masha

MASHA. NI. CHADEMA NA LISU PIA NI CHADEMA PIA.

LAKINI MWISHO WA MCHEZO HUU NI LISU NA MASHA WATAGAWANA KURA ZA URAISI. TLS HIVO KUMFANYA MGOMBEA WA. UPANDE WA PILI KUSHINDA NA AKISHASHINDA UTASIKIA CHADEMA TUMEIBIWA kura
 
Lissu ni AG wa CDM mgongano wa kimaslah kweli utakuepo tu.
Umetumwa wewe mpuuzi mbona wenzio ni ssm ila hatuna ujingaujinga kama wewe..! Haki haiangalii siasa wala chama cha siasa. Mbona manji na ussm wake amevulumishwa.

Tundu Lissu tangu nimfahamu sijawahi kumsikia akitetea haki kwa mambo ya sheria kwa mrengo wa kichama.
 
Lissu ni AG wa CDM mgongano wa kimaslah kweli utakuepo tu.
Acha unafiki wewe hata hawa viongozi wa kiroho wana vyama vyao wanavyovipenda tena kindaki ndaki sasa unataka kutuaminisha tusiende kusali ? Umetumia asilimia ngapi kufikiri?
 
Siyo bure............

Wewe utakuwa umetumwa na Mwakyembeeee na Bwana yule........
 
Ningewashauri Mawakili watumie uhuru wake kuisadia KATIBA yetu kulindwa na watu wote
 
Lisu akiwa chadema ni mwanasheria mkuu ila akiwa tls ni rais wa tls na siyo mwanasheria mkuu,akiwa bungeni ni mbunge wa eneo lake ila hasimami kama rais wa tls wala mwanasheria mkuu wa chadema na akirudi nyumbani ni baba wa familia yake na mume wa mke wake,akiwa kwa wazazi wake atakuwa mtoto wa mzee lisu. Hivyo kila cheo kitahusika na sehemu atakayokuwepo. Mangu siyo mkuu wa polisi wa familia yake bali ni baba na mume wa familia. Mtoto wake hampigii saluti
 
Back
Top Bottom