Nakupa big up senior ila naomba kutoa utetezi kidogo kwa upande wa CCM ila mimi sio mwanachama wa chama hicho unachotakiwa kuangalia je CCM imeifanyia nini umma kwa ujumla na sio imekufanyia nini wewe:A S thumbs_up:
pole sana kwa kupotea kifikra binafsi tatizo sio kuwa na elimu ya uchumi peke yake bali tunahitaji kiongozi ambae atainua uchumi,huduma nyingine za jamii pamoja na maendeleo ya sayansi na teknolojia.Na kuhusu Dk Slaa sio mlopokaji bali ni mtu mwenye uchungu na upoteaji wa rasilimali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.