Mzembe nina six pack la kufa mtu, halaf nikiongea stoi harufu ya mdomo, niko kopi to rait na walcott wa Arsenal, samtaimu hata toilet naenda na suti, sjawahi kuishi uswahilini, wala sjawahi kutongoza, wadada wakiniona tu basi wanajileta wenyewe na vijimaneno vyao kama "super star kloro naomba...