Huwa hawashauri haya lakini mm nakushauri achana nae... wengne wanasema eti kwani ww haucheat?aisee..wanaume tunacheat kwa tamaa ila wanawake wanacheat kwa hisia...na akicheat at once,anaweza kurudia na mara nyingine nyingi, references zipo nyingi Sana
Mfano dude lako ww mkeo halimtoshei Yani...
Uko mkoa gani kamanda?? Najua utakuwa na mengi Sana yaliyokupelekea kufikia kuwaza mambo hayo,na najua ushajaribu njia nyingi za halali na imeshindikana....kama uko serious,nenda tunduma,chunya,sumbawanga vijijini na Tabora... nahisi unaweza kufanikiwa ila uwe jasiri sana maana njia sio rahisi...
Sijui nani alitoa wazo la kuwa ajira za afya na elimu ziwe chini ya utumishi, yaani imekuwa ni changamoto Kubwa sana na inaleta complications na unfairness nyingi ambazo hazikwepo wakati ajira ziko chini ya Tamisemi na wizara husika Yani afya na elimu.
Unaweka interview Kwa watu kama 170k...
Sukari hupandishwa Kwa sababu nyingi Sana na kuwa huwa ni infections na huyo mgonjwa wako alishaingia pia katika complication.. basically alishaingia kwenye DKA ndo mana akapelekwa ICU....ninachotaka kujua ni kwamba bado anachoma insulin au wamemrudisha kwenye dawa za kumeza?then kuna dawa gani...
Unaweza kufanya mawasiliano mapema Kwa kuwapigia simu au kuwa E-mail ili wakubadilishie hiyo mahali pa kufanyia..just relax sababu ni wengi wenye hiyo changamoto sio peke Ako ...au unaweza kwenda ofisi zao hapo DSM au Kuna namba ya IT hapa wa ajira portal pale Dodoma hebu mtafute
Kuishi nje ya nchi ni utashi na interest tu ya mtu.... ukiwa karibu na miradi Yako pia ni rahisi kuisimamia na kuona maendeleo yake kuliko ukiwa mbali ndo mana wamechagua kuishi hapa afu then kuishi nje ya nchi ni gharama sana ambayo haikuwa muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.