Recent content by KLamar

  1. KLamar

    JamiiForums Tanzania Sakata la madawa ya kulevya: Serikali inaweza kujikuta inalipa watu fidia za mamilioni au mabilioni

    Poor planning,amateur approach
  2. KLamar

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa na wanaume mliowazidi elimu, hali ya ndoa zenu ikoje?

    Hii point imeeleweka sana....Mungu alipoumba mtu mume na mtu mke hakuwawekea restrictions kwamba lazima watofautinae kihadhi....haya mengine ya kutafuta balance ni ya kibinadamu tu
  3. KLamar

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

    Kinachofanya uchawi uitwe uchawi sio mganga,Bali ni ile imani anayoweka mtu kwamba akienda kwa mganga ndipo atafanikiwa be it ni kwenye biashara au maofisini n.k....na pia binadamu wanakua wepesi kuamini katika uganga sababu ni visible lakini uwepo wa Mungu aliye hai na mwenye nguvu juu ya kila...
  4. KLamar

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeathirika na VVU

    Kwahiyo uliingia mkavu mkavu??
Back
Top Bottom