Mim naona sio hasira ya pesa bali ni ile hali ya mke kuwa msiri, ujue mnapooana vitu kama mali ni vizuri kuambizana japo si lazima zote, isifike kipindi mwenzio aone kwamba kuna vitu unamficha hiyo ni mbaya sana, ukijenga uaminifu na mwenzio ni lazima utamshirikisha, mm nimeona ni jinsi gani...
Kweli kabisa mm laini yangu nimeiweka pembeni nasubiri labda watakuwa hawakati pesa hovyo hovyo niirudie ata kama 100 si yangu inauma kama sijui nimefanyia nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.