Recent content by kkkt

  1. kkkt

    Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

    Mr Bean Wink GIF - MrBean Wink Trust - Discover & Share GIFs Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kkkt

    Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

    Nataka niode hiyo Motorola sasa hiyo official ina maana gani hapo???? Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kkkt

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kama unachaja yake original Naitaka tatizo niumbali niko kigoma naitaka sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kkkt

    iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    Ok Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kkkt

    iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    Nipo kigoma nataka iPhone 6+ mnaitumaje??? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kkkt

    Kama Hujasoma Mamia Ya Vitabu, Wewe ni Mjinga

    Kwakweli kusoma ni kazi hata haka kamakala nimeishia katikati,oloo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kkkt

    OFA OFA OFA KARIBUNI WANA JF MJIPATE OFA YA HOMETHIETR AINA YA SONY

    Ina warranty nipo mwanza nimeiagiza kutoka dar es salaam alieniagizia alitest kila kitu dukani na flash ilikua inafanya kazi imefika huku naweka flash haifanyi kazi sijui tatizo ni nini,au zinachagua flash,kwasasa naunga waya karedio kadogo naweka memory kwenye radio inaplay
  8. kkkt

    OFA OFA OFA KARIBUNI WANA JF MJIPATE OFA YA HOMETHIETR AINA YA SONY

    Nna redio Kama hiyo inanisumbua sana kwenye upande wa flashi,nimenunua flash Toshiba na San disc hazosomi zote nimeingia hasara kurudisha dukani haiwezekani, msaada wako ndugu
  9. kkkt

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Njoo wasap nimekutxt
  10. kkkt

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ulishauza?
  11. kkkt

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimepokea laini yangu naanza kujisajili taratibu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kkkt

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona uko Kama mtoto wewe? Sipendagi ku comment sana ila huyu jamaa we unafikiri kila siku unataka kuona watu wanabeti na kuonyesha mikeka yao wengine tunabeti kwa malengo na tuna account benk za kubet na tuko makini sana kwa hili jiheshimu hii ni kazi ya hela nyingi kuliko unavyofikiria wewe...
  13. kkkt

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ntafanyia kazi kesho usiwe na Shaka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kkkt

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa haraka haraka profitable league ni hiyo ya turkey 3 league, Portugal compionat, Spain segunda division B, england national league ,England professional development, england u23,spain u19, Saudi Arabia division 1 na2, Saudi Arabia professional development, Italy serial c, Scotland league 1 na...
  15. kkkt

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka mawasiliano hapa nikuunganishe na mtu mmalizane huko Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom