Nisaidieni nahitaji kujua inamchukua muda gani alieathirika na HIV kuanza kuambukiza wengine endapo atajamiiana, I mean toka alipoambukizwa yeye na hadi yeye aanze kuambukiza wengine endapo aidha watajamiiana au kwa njia nyingine yeyoye.
Nahitaji kujua endapo virus wa HIV wanapomuingia MTU kwa...
Nisaidieni Madaktari wabobezi wa humu JF
Ni muda gani huchukua tangu muathirika wa HIV alipoathirika na kuambukiza wengine(endapo atajamiiana na mtu asiye muathirika)
Kitendo cha Nchi ya Tanzania kuingia katika daraja hilo LA nchi zenye Uchumi wa kati,Rais wetu mpendwa Dr Magufuli na watanzania wote wanahitaji kupewa pongezi.
Mbali na pongezi hizo,hapa pana jambo LA mhimu sana kuliko pongezi hizo nalo ni aina ya Rais alietuvusha kufika katika daraja hilo...
Kuna watu hata ukiwapa masaa 6 ya kujiandaa kwa safari watachelewa tu! Niliwahi kupanda mtu ndege yumo ndani mwa bukuta tu shati suruali,singlang,mkanda na begi vyote kashikilia mikononi kiss uchelewaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tukupongenze kwa namna ulivolipokea na kulishughulikia tatizo LA Corona,hukuruhusu hofu, ukamtanguliza Mungu, ukauona ni ugonjwa ambao hautofautiani sana na magonjwa ya kawaida ya Waafrika ambayo hayawapi shida sana katika maisha yao ya kila siku kama vile Mafua makali lakini pia...
Rais Magufuli kama Msosologia katika kushughulikia janga la Corona ,kwanza aliwataka wananchi kutotishika kivile, lakini pia hakutaka wananchi wake wajitenge na Muumba wao kwa kuwa yeye ni msaada pia ktk uponyaji hivyo hakupiga marufuku za ibada lakini pia akatoa siku 3 za maombi kwa Mungu.Zaidi...
1
Rais Magufuli Kiongozi na Mtawala anaewachanganya miongoni mwa wasomi.
Ni mwanataaluma zinazotenda Mwanasheia,Mchumi, Msoshologia,Mtheologia nk. Alipoanza na sheria akaona sheia za madini ni nyonyaji akafumulia mbali hakujali umataifa wa Sheria hizo kama ambavyo baadhi ya wabobezi wa Sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.