Recent content by Kizua Jr

  1. K

    'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Yani unakufuru huku unajiona wewe ndio mjanja. Haya tuseme tuli-evolve kutoka muonekano fulani kwenda mwingine, tusaidie sasa huo muonekano wa asili wa kila kiumbe kilitokea wapi? Nani alikisimika hicho kiumbe cha awali cha jamii za aina mbalimbali za wanyama na mimea (spiecies)? Acha jeuri...
  2. K

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Hao ni wahuni tu wajaotumiwa kuchafua image ya uislamu. Wanaelewa kuwa uislamu ndio dini iliyombele kupinga huo ushenzi sasa wameamua kuwalipa wahuni wajifanye waislamu.
  3. K

    Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nyie ndio wakristo mnaoendeshwa. Inaonesha hata biblia yenyewe huijui na wala hutaki kuijua. Yesu ni Mwanadamu na alikuwa ni mtume wa Mungu (aliyetumwa na Mungu) kuja kuwaelekeza wanadamu hasa Wayahudi juu ya mwenendo aupendao Mungu mmoja muumba wa kila kitu. Kuhusu Yesu kuabudu na Kumuomba...
Back
Top Bottom