Recent content by Kizinga mpemba

  1. Kizinga mpemba

    Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Natafhimini ya ufaulu miaka hiyo unaulizwa shule yenu mwaka Jana imefaulisha wangapi unajibu 20 na we we unashika wa ngapi unajibu kumi bora utafauli ila ukijibu 40 utafeli
  2. Kizinga mpemba

    Dkt. Kalemani: Taasisi zinazodaiwa Bilioni 182 za umeme zikatiwe

    Nakumbuka mwaka mmoja mkurugenzi wa Tanesco (Idrissa)alikata umeme kiwanda cha Saruji Tanga kisha waziri mkuu akasema urudishwe mkurungenzi akataka ajiuzuru akabebwa na Rais (Kikwete),kwa kauli ya kuwa hata ikulu kama inadaiwa njoo ukate umeme
  3. Kizinga mpemba

    Mitandao ya simu TIGO, AIRTEL, VODA NK. Msiifuate hii amri itatuumiza watumiaji wenu na FL wenu mtaani

    Adui yako muombee njaa na asilimia kubwa ya Freelencer hawataki kujiusicha na siasa wakichapata commission zao wanaona maisha wamewapatia nilikuwa nikiwapiga spana mpaka wakanipashika Tundu lissu maana naamkubali sana lissu na bado naomba iongozeke wajifunze
  4. Kizinga mpemba

    Majibu ya ACT-Wazalendo kwa hoja za Tundu Lissu

    Zamani nilipata shida kuamini seif ni ccm sasa 2020 nimeamini na ndio mwisho was Chama chochote alisho seif na atakasho eanda ila naamini atastaafu siasa na kishawaharibia wenzie vijana kuaminiwa na umma
  5. Kizinga mpemba

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Nimepiga sana mapindi yake ila nasikitika sana jamaa kukimbia kaunta langu lenye topic zake zote za form one, two, three hapo hapo Mchikichini, nilimlani na endelea kumlani maisha yangu yote.
  6. Kizinga mpemba

    GE2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

    Huo ubunge kapewa na CCM wanaomtishia maisha ni CCM asisingizie wanachi bora chama kimfukuze kisibebe lawama bora abebe na CCM waliomteua.
  7. Kizinga mpemba

    GE2020 Tamko la Baraza la Vyama vya Siasa - Oktoba 25, 2020

    Lissu kiboko kila MTU anazunguka mwisho anampiga dongo Ila maiti ikaribia kutoka ndani kilio kinazidi
  8. Kizinga mpemba

    GE2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

    Majimbo mengi uchaguzi utarudiwa lissu atashinda dalili zote ndogo na zimeshatokea
  9. Kizinga mpemba

    Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

    Wamepoteana ccm ,polisi,DPP,TISS,Mkurugenzi wa uchaguzi,mwenyekiti wa tume, mwanasheria wa tume,IGP,wasimamizi wa uchaguzi ngazi zote,wakuu wa wilaya,mkoa,wakuu wa idara mbalimbali za umma,wanasiasa uchwara,wanafunzi,vitambulisho vya Taifa,lesseni,pasipoti kwa wale waliopoteza,kupiga Mara mbili...
  10. Kizinga mpemba

    GE2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

    Atagawa kura za ccm tu usije kuchangaa mkamzidi magufuli
  11. Kizinga mpemba

    Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Hao jamaa ni hatari kufa au kuua kwao ni kawaida tuwaombee watu huko hasa ukiwa mbishi na masharti watakayo kupa.
  12. Kizinga mpemba

    GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Ila magufuli katuibiwa sana,uwanja wa ndege chato.barabara ya ubungo,tazara,reli na mifuko ya kijamii yote kaifilisi,vyama upinzani anaona maadui,ushauri ataki ila kuna watu watampa kura
  13. Kizinga mpemba

    GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Na nimepata ukweli kwamba vyama vingi vya upinzani mamluki hivi kwa akili ya kawaida lissu nyota yake inang'aa badala kumuunga mkono wanamwekea pingamizi ila mwaka huu kura zangu zote nitapigia chadema
  14. Kizinga mpemba

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Nimeona Tune limejitoa kumsimamisha kampeni Lissu badala yake wamewatupia mpira kamati ya maadili
Back
Top Bottom