Recent content by Kizibao

  1. K

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Na huyu mjing mwengine....Sina haja ya kupoteza muda kuandika zaidi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

    Hizo ndiyo stupid mindset zenu. Siku Tanzania itakapotia jiwe la msingi ujengaji wa refinery Tanganutakuja kusema Nini? Manyumbu na Kenya inaonyesha mnaweza kuwapa hata nyashi zenu wakaIperekecha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

    Umetumia neno 'leased' inaonyesha hujui utofauti baina ya ku- operate and leasing.. inaonyesha hivi ndiyo mnayowadanganya nyumbu wenzenu na makanisani ya kuwa bandari imeuzwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Tupeni na Chadema kule 100% ni wakiristo. Mbona hamjasema Hali ni mbaya?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

    Hivi hujui ya kuwa Yesu si baba yako ni wetu sote
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

    Nilijua hilo suala litakuja kwenye watu wenye akili finyu kama nyinyi. Sasa wewe kama unapoint ya kuwa mgawanyo wa mapato.haulo fair tuletee hapa. Lakini najua umeumia kuona bandari ya Dar ina improve day to day..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

    Nimefanya makusidi, Nilijua nyumbu hawatousima huu uzi na wataendelwza ujinga wao wa kusififia Kenya na bandari ya Mombasa bila ya kujua. Hali halisi inayoendwlea..... Lengo ninkuendwlea kukufanyeni wajinga na ili muendeleze propaganda zenu za kipuuzi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibar hawatekwi na kupotezwa?

    Wewe unaongozs kuuleta post za kipuxi hapa.. na wewe si mbaguzi lakini ni ujinga ndiyo unaokusumbua.. na tunaelewa unapata posho kwa Kila ukiandika... Lakini subirini watu kama nyinyi kitu kizito kinawakaroribia
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Yako wewe umeipata wapi? Au ukiwa mbobezi wa kubeba box una qualify kuwa mwanasheria ndiyo maana unambeza mtu aliyekaa darasani. Mr knows English?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    Kwa hivyo maria Sarungi yeye ni raia wa Hungary? Kwani hiyo ndiyo asili ya mama yake
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Post ya kipuuzi kabisa. Ita make sense kwa Nini umeiandika kama huyo so called muwekezaji atakuwa mumeo au basha wako!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

    N siyo.mwisho wa akili yako ilipokufikisha?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

    Subiri matusi yatakayokuja .. Somo 101 la kuwa mwana chedema nomkufundishwa.matusi then Heche is always right..... Kijana umeelezea vizuri anajiona yeye ndiyo Kila kitu. Kumbe ni failure
Back
Top Bottom