Recent content by Kiyosaki i

  1. K

    Nini kifanyike pale mtumishi anapotukanwa Ofisini kwake

    hahaahha natamani ungejua scenario lakini acha lipite, Kuna mtu hapo juu kasema changamoto kazini na mwingine LETS GO imetosha Sana,,,,,, ila [emoji16][emoji16]
  2. K

    Nini kifanyike pale mtumishi anapotukanwa Ofisini kwake

    hii nimeshuhudia leo, nilikua ofisini kwa VEO, akaja kijana bila hodi Wala taarifa Hadi ofisini kaambiwa wanaongia humu Ni ambao nimewaita tuu,,,,, yakaanzq matusi mapo kiongozi hayupo vizuri kueleza utaratibu Tena kwa lugha Safi??
  3. K

    Nini kifanyike pale mtumishi anapotukanwa Ofisini kwake

    Msaada inakuaje pale mtu anapoingia ofisini (WEO) au (VEO), ghafla baada ya kupewa utaratibu anaotakiwa kuufata anaananza kumtukana kiongozi huyu. au hata kwenye mkutano kiongozi kutukanwa kisheria Nini kinatakiwa kufanyika
  4. K

    Je, Open University ni pazuri kusemea Sheria?

    Ni miongoni mwa waliopata ajila mpya,,, kwaio Ni lazima Hadi miaka mitatu ipite ndio apte ruhusa ya kwenda Campus,, na anahitaji kuunganisha
  5. K

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu nimevutiwa na ukarimu wako wa kushare MAARIF.. Mimi nipo nje ya lengo la hhi forum na badala yake naomba ushauri. Nina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwa sasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu...
  6. K

  7. K

    Je, Open University ni pazuri kusemea Sheria?

    Nina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwasasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu huria Tanzania),,, naomba kupata ushauri Kama Ni suitable kwa sheria...... ikilinganishwa na anaesomea CAMPUS maana...
  8. K

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    hapana upende wake wapo watu sensitive tayali akina lomalisa, kibwana
  9. K

    Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

    kipimo ni elfu2 Hadi elf2 na miatano, hapo lakini Ni bila maji.... kwa uzoefu
  10. K

    Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

    ndio inaruhusu ajipime, lakini kupimwa na watu walio maalumu kwa shughuri hio Ni vizuri zaiidi. mfano kuna muda ukipima na ukachelewa kuangalia majibu, kunauwezekano mkubwa wa kukuta majibu tofauti na uhalisia na kujipa presha zisizo za msingi. Kama inampendeza apime, lakini kupimwa na...
Back
Top Bottom