Recent content by kix

  1. kix

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Acha utoto wewe nani?Kumbe kuna vitoto humu ndani.
  2. kix

    Waraka wa wazi kwa Waheshimiwa Tundu Lissu, Mdee na Wenje

    Mkuu hebu tupe hicho kifungu kinachosema hivyo au ni tafsiri yako na Lissu? kuna Atafukuzwa ambayo mimi nafahamu iko kwenye katiba ya CDM ila Kujifukuzisha ndo nasikia kwenu.Kama ni Tafsi sawa ndo maana Mdee nae akawa na tafsiri yake ila kama katiba inasema kujifukuzisha automatic then Mdee...
  3. kix

    Joseph Selasini: Tumaini Jipya la CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro linalopotea

    Ongeza fitana mkuu,unakaribia kufanikiwa siku hizi Selasini ametengwa kwasababu ya fitina zako. Simama kwa miguu yako kwani lazima ufitinishe watu ndo ufanikiwe? Uwezo wa kusimama unao kwanini unaamua kutumia mbinu chafu namna hizi? Mwisho wa Wanachi wa Rombo ndo wataamua Mbunge hatakama Ufipa...
  4. kix

    Joseph Selasini: Tumaini Jipya la CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro linalopotea

    Endelea kucheza ngoma usioijua hiyo ndo chadema Vijana wamekalia majungu kufitinisha watu.
  5. kix

    Hali si Shwari CHADEMA, Mpango wa kuwanunua wajumbe wa Baraza Kuu waandaliwa

    duh mods si mmeamua kuendesha jukwaa kwa HEKAYA na hawa wamekuja nazo pia sio kwamba hawajui kutengeneza Hekaya. Hapa tupo sawa.
  6. kix

    Nasikitika jinsi viongozi wanavyoingizwa mkenge na ACT-Tanzania

    Nyekundu UPOTOSHAJI hakusema 2015.
  7. kix

    Taarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR Mageuzi)

    [FONT=Verdana] Ushauri mzuri sana kwa vijana tujifunze kujua tabia za wanasiasa UTU kwa wanasiasa ni MSAMIATI.wapo vijana wengi wametumika na kuachwa desperate,wamepoteza ndoto zao na kukata tamaa.
  8. kix

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Dah inasikitisha hivi ni kweli unautaka huo ubunge kupitia CDM? Hivi si wewe walikukana au? Kuna mawili mkuu kama walikukana ni ndoto kupitishwa utachafua taswira ya chama,Pili unaweza kupitishwa kwa kufanikisha mpango wa viongozi kama zawadi na kifuta machozi.
  9. kix

    Kigwangwalla: Si sahihi kuweka kikomo cha ubunge!

    Huu ni unafiki wa hali ya juu hivi Mnyika anaunga mkono ukomo wa vipindi vitatu vya ubunge vipi kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama chake ambayo katiba yao imeruhusu kuzeekea madarakani. dhana hiyo hiyo iliyotumika kuweka ukomo wa wabunge itumike kuweka ukomo wa mwenyekiti wa chama chao. Kweli...
  10. kix

    Ndesamburo: Nitalirudisha Soko la Kiborloni

    Toka 2007 diwani na mbunge wake wamekua wakiapa kuleta maji,kurudisha soko na kukarabati soko la vyakula ambalo kila siku linazidi kushuka kiwango.huu ni utapeli wa Ndesa kwa watu wa kiboriloni.hakuna cha maana amewafanyia zaidi ya kuwafanya punda vijana wa kiboriloni.
  11. kix

    Swali la Uchokozi: Unafikiri kwanini NEC Wamekubali Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Sasa?

    Tanzania plans biometric voter listing for 2015 General ElectionBy ALEX BITEKEYE for The Citizen | Tuesday, April 16 2013 at 11:52Plans are underway to introduce biometric voter registration for Tanzania's 2015 General Election, the country's National Electoral Commission (NEC) said Monday...
  12. kix

    Swali la Kioperesheni: Mafanikio ya M4C-OPD Yatapimwa Vipi?

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imepata pigo baada ya Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), kuizuia isitoe zabuni za kuandaa vifaa vya uchaguzi vya kielektroniki kwa kampuni za M/S Jazzmatrix Cooperation na M/S Invu IT Solution zenye thamani ya sh bilioni 126.3. PPAA imefikia...
  13. kix

    Swali la Kioperesheni: Mafanikio ya M4C-OPD Yatapimwa Vipi?

    Tatizo vijana wengi hatufatilii mambo.hivi kweli hujawahi kusikia marekebisho ya daftar la kupigia kura kwamba umesikia baada ya M4C OPD? Nikukumbushe unakumba hoja ya Zitto kuhusu NEC ilikua nini kwenye bunge lililopita? Ilikua ni NEC kumpitisha mzabuni ambaye atafanya Digital Voters Registration.
  14. kix

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    CDM ni chama cha watanzania haku mwenye hakimiliki ya hichi chama japo Kuna waasisi.Go go Zitto I support U.naomba kushirikishwa kwa ukaribu sana kwenye hii movement ya kuondoa wahafidhina ndani ya chama.hatuwezi kupambana na ufisadi wakati sisi ni mafisadi M4C ndani ya CDM tunahitaji mabadiliko...
  15. kix

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    CDM ni chama cha watanzania haku mwenye hakimiliki ya hichi chama japo Kuna waasisi.Go go Zitto I support U.naomba kushirikishwa kwa ukaribu sana kwenye hii movement ya kuondoa wahafidhina ndani ya chama.hatuwezi kupambana na ufisadi wakati sisi ni mafisadi M4C ndani ya CDM tunahitaji mabadiliko...
Back
Top Bottom