Recent content by KIWVOPAMBULI

  1. K

    Mama Getrude Lwakatare hatukutaki Kilombero, mbona husikii?

    Nadhani hizo ni sekeseke ndani Ccm kinachopumulia mashine ktk bonde lote la Ruaha-Kilombero. Wanatafuta mbadala wa BOYA Abdul Mteketa,walilotupachikia kwa nguvu za Evarist Ndikilo,mwaka 2010. Waache watuletee boya jingine waone kazi ya wana Kilombero. Mhe dada yangu Getrude,hiyo fedha toka TAG...
  2. K

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ajiwekea Ulinzi wa Nguvu

    Kwao ni wilaya gani? Aangalie na waliomtuma waangalie sana. Wananchi sasa hv ni moto mkali. Yasijetokea kama yaliyomkuta Dr. Kleruu tar 25 Dec 1971 kule Mkungugu,Isimani,Iringa. Sifa huua
  3. K

    Hivi Kwanini Tanga, Pwani Dodoma, Morogoro na Iringa wanaipenda sana CCM

    Sababu nyingine ya watu kukichagua CcM huko Iringa,ni nguvukazi walioiwekeza huko nyuma,enzi ya chama kimoja {tangu TANU} ktk kukijenga chama. Kwa kusukumwa na viongozi,Iringa walijenga jengo la ghorofa 2 kuwa ofc ya TANU mwaka 1968-70. Kwa miaka mingi jengo hilo lilikuwa ndio bora kuzidi ofc za...
  4. K

    Hivi Kwanini Tanga, Pwani Dodoma, Morogoro na Iringa wanaipenda sana CCM

    Iringa vjjn ndio wamelala bado. Mjini walijikomboa tangu enzi.1995 walimchagua Mwl. Mfalamagoha wa NCCR-M, wakimkataa Hass Kitine licha ya kuwa aliwahonga wapiga kura wali kwa nyama/samaki kwa oda alizokuwa amrweka mahotelini kipindi chote cha campaign.Tangu 2010 wana Rev. Msigwa wa CHADEMA
  5. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Uongozi ni kipaji.SAWA KABISA. Lakini falsafa na makandokando ya dunia na ulimwengu yanalazimisha,KIPAJI KIUNGANISHWE NA ELIMU KUCHCHEA UFANISI. Kama Mhe.John Mnyika hajasoma elimu yenye kuthibitishwa kuwa na SHAHADA ya UDsm,namshauri na kumwomba achukue likizo kwenye siasa,akachimbe.Mrema na...
  6. K

    Kauli ya Mh. Zitto jana Bungeni imenipa Mashaka kidogo

    Usichokielewa hapa ni kipi?Wewe ndio FFF {Form Four Failure}.Mashaka yake ni hapo ZZK anaposema uchambuzi kuhusu THE SCANDLE OF THE TEGETA ESCROW ACCOUNT utakaowasilishwa bungeni na PAC hautalenga watu.Huoni kuna utata hapo?Details za reports za PCCB na CAG juu ya issue hili zinawataja...
  7. K

    Mbio za Mwenge Arusha

    Huu ni upuuzi mkubwa sana. Ratiba ya mbio za wenge ilifahamika tangu April, hivyo kutoa fursa kubwa sana kwa watendaji wote kujipanga na kuwahamasisha wananchi wajitokeze. Ujumbe wa mwenge unawalenga watu wazima, kama hawajitokezi, hao watoto wataambiwa nini ambacho watakifanyia kazi? Enzi a...
  8. K

    Mjuwe kiongozi wa CHADEMA nyanda za juu Kusini anayeimaliza CCM kwa kasi kubwa

    I like this. Wapenda mabadiliko wote na wenye nia nia njema na Tanzania, waungane katika kukishauri CHADEMA kuwatumia watu kama huyu ndugu kusukuma mbele kwa kasi uelekeo wetu kwenye mabadiliko ya haraka yenye ufanisi wa kudumu.
  9. K

    John Shibuda na Leticia Nyerere hawamo Bunge la Katiba

    Sikukatalii JIE LA MAJI.Una hoja.lkn kama lilivyo jiwe la maji ambalo huitwa bonge la barafu,hoja na mtazamo wako vinaweza kuyeyushwa kwa jibu lenye lenye uzito sawa na joto la 0.01c. Elimu ndogo ya SAIKOLOJIA YA MNYUMBULIKO WA MAKUNDI {group dynamics psychology} inatosha kutufundisha kuwa...
  10. K

    John Shibuda na Leticia Nyerere hawamo Bunge la Katiba

    Kwamba hbr hii imeshabikiwa sana na magazeti ya udaku wa kisiasa kama UHURU,JAMBO LEO,na HABARI LEO si kitu cha kushangaza.Kwa makanjanja wa vyombo hv,hii ni ishara ya kuvunjika kwa CHADEMA. All in all,binafsi naguswa mno na msimamo wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Naelewa kuwa ktk kukua...
  11. K

    Taarifa kwa umma kutoka bunge maalumu la katiba

    Huyu katibu ana akili kweli?Anashadidia na kutuandikia upuuzi kama huu!? Anatuongezea hasira.Wao waendeleze uchakachuaji huu lkn waTanganyika na waZanzibari tumeelevuka sasa.Watachakachua weeeeeee! Lkn hawatashinikiza katiba tunayoitaka.KAMWE
  12. K

    Clouds yaipotezea UKAWA

    CcM hawawezi kuja na mapendekezo ya katiba ya wananchi.Hawana mandate hiyo.Wanakosa uhalali {legitimacy} maana ili wapate akidi ya kupitisha hoja sahihi,LAZIMA WAWANUNUE NA KUWARUBUNI WAJUMBE <hasa wale kutoka Zbar> ili warudi kutimiliza akidi, na hiyo ni baada ya kupindisha kanuni kwa kuamuru...
  13. K

    Clouds yaipotezea UKAWA

    Kilichopaswa kujadiliwa ni RASIMU YA PILI YA KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME YA KATIBA MPYA.Na rasimu inapendekeza muundo wa serikali 3 ndani ya nchi iitwayo JMT.Kero inakuja pale CcM walipokuja na pendekezo la ajabu la SERIKALI 2 na kutaka hoja yao hiyo ijadiliwe badala ya kujadili jinsi...
  14. K

    Pole Pole Kijana anayeumizwa na changamoto za Taifa la Tanzania.

    Humphrey Polepole ni icon.Nchi hii ingekuwa na utaratibu na desturi ya kuwaenzi wana wema,Humphrey angetunukiwa HESHIMA YA JUU ILIYOTUKUKA KWA KUJITOA KWAKE IULIVUSHA TAIFA HILI TOKA KTK DIMBWI LA MATOPE TULIMO SASA. Humphrey ni kielelezo cha dhahiri kuwabVIJANA WANAWEZA.Wathubutu kutenda maana...
  15. K

    CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    We Chaburuma fake ni wa kuhurumiwa. Ushahidi upi unaoutaka zaidi ya:hongo alizopewa ZZK na TISS kukihujumu CHADEMA.Serikali,kwa maana ya vyombo vyake vya dola.usalama wa taifa wakiwamo,kuvuruga mikutano ya CHADEMA,Viongozi na watendaji wa chama kubambikiwa tuhuma kali za ugaidi.mf.ni Mkurugenzi...
Back
Top Bottom