Recent content by kiwososa

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Lazima achanganye mafile maana waliomtenda ndio hao hao anajaribu kuwapamba lakini Mungu sio Asumani anaufunga ulimi na ubongo wake ili andiko litimie. KIJANI MUST GOOOOOOO
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anajaribu kuwadaganya, mpotezee

    Kwa hiyo kwa sababu hajatangazwa kuwa mgombea ndio anaruhusiwa kutoa rushwa?!hizo pesa anazogawa ziliidhinishwa na bunge gani na kwa shughuli ghani?!mada nyingine ni za kujadili na wanachama wenzio huko vikao vya ndani kwenye kudanganyana na sio za kuleta kwenye majukwaa ya watu wenye kufikiri...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

    Huko walishazoea sera ni za mgombea na sio za chama.CCM ilishajifia siku nyingi tu ni vile watanzania wengi hawajui nyakati. ndio maana kila siku mzee Mkapa alikuwa anamkosoa JPM anaposema serikali ya Magufuli badala ya serikali ya CCM lakini watu hawakumuelewa yule mzee masikini. ukitaka kujua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Usicheze na profession za watu kuziingiza kwenye ujinga ujinga bana.weka siasa mbali na facts.hela zimepigwa baasi ni professional gani ataingilia mabishano yasiyo na tija?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea hotuba za wastaafu zijikite kujisahihisha kwa nini waliua na kugawa kwa wahindi TTCL, ATCL, NBC, TRL, watueleze kiini cha ESCROW, KAGODA

    Nyumba ndogo zake zote 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 u made my day bro......vimada wote mapovu kama yote kumtetea kidume wao dadadadadadadeki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makonda haguswi, ni mtoto wa baba. Ajali ya ndege ya Auric iweje wanajeshi wafanye uchunguzi wakati ni ndege ya kiraia? Tunaficha Ebola?

    Off point.huwezi kuelewa mambo ya akili kubwa haya mzee.potezea tu sio lazima uchangie kama huelewi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini utawala huu unafumbia macho kauli za kukufuru?

    Apandishwaye na Mungu atashushwa na Mungu.tuombeane uzima. na hao wanaompa utukufu wameshamsoma anapenda utukufu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli anakutana na Maafisa watendaji ili kulazimisha CCM ishinde uchaguzi Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Kojoa ukalale. ila ukweli utabakia pale pale kwa anayosema Zitto.matendo yanaongea kuliko maneno.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Na wewe unayelipwa kwa kodi zetu sisi masikini kuja kutetea ujinga huu huku mitandaoni unajiona ni mzalendo?kama huyo bwana ana makosa hayo kwa nini asipelekwe mahakamani kuliko kumshikilia?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema Upinzani Imara Utatoka Ndani ya CCM. Mbowe relax, Zitto relax and watch the game

    Ndivyo ulivyotumwa?! ili kumuua nyoka inabidi agongwe kichwa na mkia.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba

    Wahariri na wamiliki wa hivi vijarida wamehojiwa?!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Jamani hivi Lara 1 yuko wapi?I miss dat chick....hivi ni demu lakini kweli maana naye haelewekagi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    inabidi awe rais wako wewe na mkeo na ndugu zako kwanza halafu ndio arudi kwetu.shubaaaaaaaaamiti yako
  14. K

    JamiiForums Tanzania Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Vita ya kiuchumi ni ngumu sanaaa.....Masikini Lissu namkumbuka sana kwenye hii sakata.alitutahadharisha lakini ujuha ukatupoza. saa hizi yupo anauguza majeraha yake kwa kutaka kuwasaidia wadanganyiaka.pole sana Lissu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikali‬, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege

    wewe una kichaa cha mbwa sio bure.wewe unafikiri fedha zote hizo zilizopotea/kutojulikana zimeenda wapi zingeletea watanzania wangapi maendeleo? ni bora ukanyamaza kama huna cha kuandika hapa na sio kwa upotoshaji huo nyambaaaaf
Back
Top Bottom