Recent content by kiwawira

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl njoo manyara wilaya ya mbulu kama uko tayari nipm kuwa mshiko unahitaji Tsh.Ngapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje?

    Mwanamke nampenda sana lakini hanitaki ila anapenda kuwa na mimi muda mwingi hata kazi anapenda nimsaidie ananifuata.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Njoo Mbulu Utawapata Hao Yeyote
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu

    ahsante bibie
  5. K

    JamiiForums Tanzania Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    MAPI umesema kweli hawana hata mvuto halafu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    passion lady hujaachaga tu utani wako?JAJU nimerudi kivingine kwa jina jipya baada ya kupotea kwa muda
  7. K

    JamiiForums Tanzania nisaidieni jamani

    mke wangu hataki kunisamehe baada ya kunikuta naishi na mwanake mwingine ndani.mimi nafanya kazi manyara yeyd anafanya kazi dar kuonana kwetu ni pale 1 wetu anapopata nafasi anamtembelea mwenzake sasa yy kuja manyara kanikuta naishi na mwanamke akaondoka nimemuomba msamaha kuwa nimemuacha yule...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta a real man wa kula naye bata.

    mimi vigezo vyote ninavyo tena nina ajira serikalini kama uko tayari nipm
  9. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuishi naye

    Mke wangu nimemfumania mara 2 na marafiki zangu, nilipomuuliza akaanza kunitukana na kunieleza kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani wakati tunaoana mwaka 2009 mama yake alishafariki mwaka 2003. Nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    hapo umenena kweli
Back
Top Bottom