Jamani poleni na kazi, baada ya kufanya biashara ya dagaa kwa muda fulani kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam nataka nipanue wigo wa kupeleka mkoani Songwe mpakani mwa Tanzania na Zambia (Tunduma)
Lakini kabla sijapata kwanza nilitaka nipate mawasiliano ya watu au wanunuzi wa dagaa kwa bei ya...
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE.
Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
Natafuta kazi idara ya afya nimesoma shahada ya UKUNGA (Bachelor of Science in Midwifery) nipo tayari kufanya kazi Kanda ya Ziwa. Naweza kufanya kufundisha chuo cha afya au kufanya kazi hospitali.
Mawasiliano 0714513631
Inbox me
Poleni na majukumu. jamani anaeweza kuniambia u tofauti kati ya mita ya biashara na ya nyumbani ya maji kwenye upande wa malipo wa uniti za maji.au hamna utofauti .
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.