Tangu kampeni za uchaguzi mkuu zianze rasmi, mgombea wa Urais wa CCM ameonyesha kukerwa na ubovu wa mambo mengi katika jamii katika nyanja za afya, elimu, miundombinu n.k ambao umetokana na mfumo wa utawala ulioko kwa zaidi ya nusu karne sasa.
Mheshimiwa anatueleza kuwa anaujua ubovu huo na...
Siasa sio uadui. Tumejenga utamaduni wa kuachiana uongozi kupitia chama kimoja. 2015 tutaanza kuachiana uongozi kupitia vyama. Tutaelewana na tutazoea kama Democrats na Republicans huko Marekani. Hakuna sababu ya kuogopa.
CHADEMA hawana sababu ya kuikataa serikali ya JK ambayo imeshafika mwisho wake. Kana kuna unabii kuwa haitafikia mwisho mwema, basi itakuwa hivyo bila ya kuwepo maandamano ya kuipinga. Inaonekana CCM wamekubuhu katika kutumia pesa ili kufikia malengo yake ya kisiasa
Wanachama wa CCM msijidanganye. Miaka 54 kwenye utawala bado ninyi na sisi tunakunywa maji ya malambo pamoja na ng'ombe. Hamchukiwi ila utawala wenu umechokwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.