Recent content by kivutio

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira apinga kuondolewa uenyekiti ACT Wazalendo

    Hilo nalo neno. Ngoja wenyewe waje na majibu
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Wote mkuu. Kila aliye mwanamke anatiwa na ex wake
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaoa ili iweje ? Mimi na-date na KE sita kwa raha zangu.

    Dunia ya leo mkuu mambo ni hovyo hovyo tu. Hata walio oa nao wako kwenye chain kama hizo
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioolewa huliwa na wapenzi wao wa zamani

    Usidanganyike wala usidanganye mkuu. Hakuna mwanamke mjanja kwenye mpini wa ex wake. Wote wanatoa mzigo kwa maex wao. Nasisitiza ni wote.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Honest and humble man needed

    Yaelekea hata kwenye 6*6 huna papara. Unaweka, unaisikilizia, kisha mwaaaa ! Halafu unachomoa. Wesh ü all the lucky
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Asante
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Umelenga mle mle
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chemistry ya Sakaya na Lipumba chanzo chake hiki hapa

    Mada iliyopo jukwaani haihusiani kabisa na hao uliyo wataja. Kama vipi lete mada yako inayowahusu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mtunda auawa kwa kupigwa risasi

    Yule Polisi wa Adam Malima apelekwe Kibiti
  10. K

    JamiiForums Tanzania RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Meck Sadik siku ya mei mosi alichomekea suala la viwanda kufa ktk mkoa wa Kilimanjaro. Kitu kilichotafsiriwa kama ni kumpangia Sizonje. Na Sizonje alishasema "mimi huwa sipangiwi",basi kamuamuru ajiuzuru mara moja.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti badilikeni, kwanini akutumie kama mke wakati hakuhudumii chochote?

    Mkuu inategemea mtu na mtu. Mwingine amedekisha na kuwafulisha mademu kibao lkn hajaoa hata mmoja
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aleta heshima mtaani, na wakati huohuo aleta ugumu wa maisha

    Mkuu ni kweli. Waliokuwa madalali, mateja na vibaka wamegeukia kilimo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JF

    Mkuu umetisha kinoma, ndiyo hapo hapo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shule za Feza kufutwa?

    The Coup attempts were dramatised for Erdogan's political reasons. Something fishy was going on behind these faked coup attempts.
Back
Top Bottom