Recent content by kivulini

  1. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wakuu salama??? Nahitaji mbegu ya kuku wazuri wa kienyeji kwa ajili ya kufuga. Kwa anayeweza kunisaidia naomba afanye hivyo. Nipo kigamboni Dar es salaam. Napokea ushauri pia. Asante
  2. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Wakuu asanteni sana nipo apa Dar ceramica products zao ni nzuri sana
  3. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Okay Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  4. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Mkuu hapo kwenye conceal toilet sijakuelewa Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  5. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Asante mkuu Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  6. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Vinapatikana wapi Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  7. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Wakuu habari zenu, Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia kama yupo anayefaham brand nzuri zaidi na imara tafadhali naomba mrejesho. Pia ninahitaji vya kukaa...
  8. K

    Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

    Wakuu kuna hizi za BSM vipi wakuu ni bora????
  9. K

    Msaada nichukue ipi kati ya Spacio new model au premio old model?

    Mkuu chukua premio ni imara kuliko spacio japo mambo mengine yanafanana
  10. K

    Nichukue gari gani kati ya hizi?

    Wakuu nawasalimu, Kutokana na ushauri na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3. 1.IST old model 2.Spacio new model 3. Premio old model Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya...
  11. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Wakuu nawasalimu... Kutokana na ushari na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3. 1.IST old model 2.Spacila new model 3. Premio old model Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya...
  12. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Asante sana mkuu Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  13. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Ivi gesi inaunafuu kiasi gani? Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  14. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Ndo maana ya kuja hapa kupata mawazo mbadala mkuu
  15. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Mkuu mimi kwenye kwenye suala uendeshaji sina shida na naendesha manual hivyo kwa uzoefu wa barabani nipo vizuri Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom