Ambacho wengi hawajui ni kwamba thamani ya fedha hupimwa na yale ambayo fedha husika inaweza kufanya ndani ya nchi husika,mfano tsh elfu kumi ya tz ni sawa na 520 hv ya kenya.
Kwa Tanzania hyo elfu kumi unaweza kununa mojawapo kati ya hivi:
-mchele kg4
-unga kg 8 na chenji inabaki
-full plate ya...
Tulikubaliana kabla ya kuoa uwe unamzidi mwanamke kila kitu why akupige nawewe unapigika??
Any way umepoteza sifa ya kua mwanaume mpaka mkeo kakupendekezea maamuzi ya kufanya nawewe bado unakuja jf kuomba ushauri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.