Recent content by kivangaukali

  1. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Nafasi mwenye mtaji aje tukuze biashara

    Natafuta watu wa kushare biashara ya kuuza gas kwa jumla mm ni superdealer ninauzofefu wa biashara kwa muda wa miaka 7 nauza oryx na mihan
  2. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Namna shoga wa Kitanzania alivyoniibukia na mie nika act ni kundi hilo

    Wenyewe uzazi tuwe makini sana na watt wetu. Kiukwel mm ninaushaidi wa mtt wa jamaa yng. Kuna shhule iko maeneo ya sombetin Arusha yule alikuwa ana pumuliwa kisogoni na wenzake Nilipata kajikaz pale AR Nikaonelea niende kujistiri kwa jamaa yng siku moja nilipokuwa narud kutoka kwenye kibarua...
  3. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Tambua mwisho wa siku toilet paper itaacha arufu ila maj ni poa zaid
  4. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Wengine tuna manyoya bila maji balaa[emoji2]
  5. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu ambaye naweza kushirikiana nae au tuingie ubia wa biashara ya LPG gas

    Jiamini usiwaze kutapeliwa
  6. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu ambaye naweza kushirikiana nae au tuingie ubia wa biashara ya LPG gas

    Mm nafanyabiashara ya gas napata faida kati ya laki tano mpaka milion kwa siku ila madeni yamenizidi kama kuna mtu anataka kujua zaidi na anapesa anitafute aje tujadiliane tupige kazi
  7. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nafanya biashara napata faida kati ya lak2 mpaka lak5. Kwa siku ila sipati maendeleo naongeza maden kwa matumiz yangu Unakuta napata matatizo hasiyoepukika. Kama ugonjwa. Mara magar kuharbia yanayozungusha hiyo biashara na mm niko mweupe je natakiwa kufanya nn?
  8. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Kifaa chagundulika nchini Israel cha kumtambua gaidi

    Mpaka leo kiwanda chenu cha magar nyumbu oil filter/d/filter wanashindwa kutengeneza
  9. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Kifaa chagundulika nchini Israel cha kumtambua gaidi

    Ww ndio mjinga unayekataa ukweli
  10. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Kifaa chagundulika nchini Israel cha kumtambua gaidi

    Kuwaza ngono tu
  11. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Kifaa chagundulika nchini Israel cha kumtambua gaidi

    Sasa ww unakereka nn na huo ndio ukwel wa utafiti wa wajinga kama ww
  12. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi kwa baadhi ya mikoa sasa kuchukua mpaka siku mbili kufika

    Huo utaratibu unaanza lini au umeshaanza
  13. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Hili gari litatoka kwa mlango gate a au b au c au d?

    C
  14. kivangaukali

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa redioni, adai tumepata uongozi mbaya kuliko wa Kikwete

    Kwanza Magu bila upinzan asingekuwa hapo nchi ingeendelea kuongozwa na wanafamilia na hili halipingiki lilikuwa wazi mipango ya wapinzan ilifanya sisiem kubadili gear angan na ndio jamaa ikawa gear no 5 sasa anasahau waliomuweka madarakan ni hao wapinzan
Back
Top Bottom