Recent content by Kitungamirwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

    Mbona unapenda kuandika comment hii kwa kila post?
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Ya Arusha kilikuwa kipindi cha uchaguzi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ombeni msamaha kwa Watanzania, mtasamehewa

    Hii kauli mara nyingi huwa inanichekesha. Hebu jaribuni kubadili majibu yenu basi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Una uhakika na unachoongea?
  5. K

    JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Mkuu bado unaamini vyama vya upinzani havijafika vijijini? Jaribu kufuatilia ndugu utaona. Unapotaja Tarime Vijijini mfano unategemea hapo ni mjini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Sijawahi kuona mpinzani bora kabisa nchini kama Dkt. Slaa

    Unakumbuka kuwa Dr. Slaa mlikuwa mnamuita shoga?
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

    Hujawahi kumwona Lissu akitumia taaluma yake ya uwanasheria kusaidia jamii? Waulize wakazi wa Nyamongo Tarime wana majibu sahihi
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

    Balabala, ulais, rakini. Mmmh! Kazi ipo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Ametumia vithibitisho ikiwemo sheria. Hebu nawe leta vithibitisho kumpinga
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Salum Mwalimu ameanza kutumia ngekewa kuiangamiza CCM mikoa ya Kusini?

    Hivi tangu miaka hiyo mnasema Chadema imekufa kumbe haijafa bado?
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

    Ungeweka na Kariakoo mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaenda kujiendesha vipi bila ruzuku?

    Kumbe bado mna hofu. Kwanini msifanye sasa hivi wakati hao washakufa miaka mingi iliyopita? Au zile kauli za wamekwisha ndo zinaanza mwaka huu?
Back
Top Bottom