Recent content by Kitonkonyole

  1. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Utakufa masikini kwa fikra zako za kiswaili, uyo anayekulipa kuandika hivi mwambie akuongezee. Kwanini msilete proof mnazoongelea kila siku? Mmeshindwa na mafuriko mnaakimbilia maneno, hata kwenye kanga yapo. Hii ndio safari ya matumaini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Raisi wa watu, Ingia baba ututoe tongotongo la umasikini. Hakuna kama Lowassa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kioo tuelekeacho

    Inashtua sana kijana kama wewe kutoa maneno kama hayo, natumaini wote wanaongia JF wameenda shule. Uwezi kumshambulia mtu bila proof. Kubwabwaja maneno waachie waimba taarab, weka facts. Hii ndio safari ya matumaini.
Back
Top Bottom