Recent content by kitoku

  1. K

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI hii hali mkiendelea kuikalia kimya msahau kabisa utendaji kazi bora

    sijaelewa hawa viongozi wa awamu hii wa tatizo gani ila nadhani imesaidia kujua uhalisia wa watanzania maana tulikuwa tumejificha kwenye mwamvuli wa amani na upendo kumbe tuna tabia halisia imejificha
  2. K

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI hii hali mkiendelea kuikalia kimya msahau kabisa utendaji kazi bora

    KWANZA: nipo morogoro siku ya 9 leo ila nilicho kipata huko!!! kuna mama yupo mkoa wa morogoro afisa elimu mkoa morogogoro,huyu mama anatukana hovyo walimu kwakweli huko morogoro na kejeli dharau maneno machafu yaani hana busara wala hekima kabisaaa ya uongozi hana ushirikianao na anao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    au ndio maana tinted ziliruhusiwa eee!!! maana nakumbuka lilitoka tamko la kuzizuia lika kanushwa flan iv!!maana tuna ambiwa gari ilikuwa tinted najiuliza tu ..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu wasiojulikana wavamia ofisi ya CHADEMA na kuondoka na msaidizi wa ofisi, haijulikani alikopelekwa

    ninacho shangaa mie ni je tukio la NAPE Na lile la kituo ca CLOUDS TV!! maana huwa nakosa cha kuunga mkono kwenye hoja kama zako katika mambo haya.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Nawaza kwa mawazo mapana sana tena sana na ninaumia moyo sana , pamoja na UCCM wangu wa damu kabisa lakin nadiriki kusema hali hii haimpendezi mungu ,TUNALITIA LAANA NA NAJISI TAIFA LENYE BARAKA .
  6. K

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    na huenda ikawa si nairobi wala muhimbili.
  7. K

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    ila kuna watu wana mungu wao aisee matundu ya risasi hapo kwenye gari yapo kama 20 hivi mweeeeee!! mwe! mwe!! kweli mungu si maulidi na walio shiriki kutenda thambi hii mungu waumbue kwa wakati wako tena waanike peupeeeee,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongezewe Ulinzi

    ndugu umepatwa na nini?? mbona post mfululizo hivyo tena kwa haraka??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    mkuu mnona unaonekana una kasi sana?? una tupa wasiwasi wenzio maana tangu kuripotiwa tukio la lissu upo bize sana huku una tutuisha wenzio?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    katika hili namuunga mkono Mh. rais 100% ila naona mruma yupo safe kweli kweli.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    hata mimi nimepigwa butwaa katika hili
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na hili la ratiba ya mitihani kwa mkoa wa Morogoro

    anaye taabika hapo ni mwalimu au mwanzafunzi??
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na hili la ratiba ya mitihani kwa mkoa wa Morogoro

    yaan hata sijui maana ni shida tupu wanajua kuwa kuna likizo sijui inakuwaje wanapanga mitihan siku ya kufungua shule elimu ya sasa ni uchafu mtupu.
Back
Top Bottom