Recent content by kitinga jleonard

  1. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

    Kama alikuwa katili lazima ashambuliwe bahati nzuri mungu aliona aingilie kati
  2. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

    Ni mjinga pekee anayeshangilia #lema kuwekwa gerezani kisa ndoto badala ya kujiuliza aliyekamatwa na bunduki 17zinazotumika kihalifu yupo mtaani anakula bata ndo ujue ccm ni zaidi ya ujinga
  3. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza kusitishwa zoezi la kuwaondoa Machinga Mwanza na wachimbaji wadogo migodini

    Sifa za kijinga na huruma za kinafiki wajinga wataamini kuwa pumba maharage ana huruma
  4. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Kawekeze wewe mzawa ujenge nchi
  5. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani umetosha kumzika Lowassa kisiasa

    Magufuli kafanikiwa kwa matamko ila kwa vitendo napo kajitahidi mfano mdogo ni jinsi alivyowajali wahanga wa tetemeko kule kagera
  6. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha afikishwa Mahakamani

    Hizi ndo kesi za kushugulikia alafu ni kitambo tangu abainike kughushi kitambulisho cha ajabu zaidi tutasikia yupo nje kwa dhamana ila mwenye ndoto ananga'ng'aniwa mahakama zimeingiliwa
  7. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kutoka madarakani, watu bado wanaipenda

    Ccm unaipenda mwenyewe na siyo wote kwanza asingelikuwa lubuva hadi sasa ingekuwa story hata hivyo 2020 itakuwa aibu
  8. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msimlaumu Mbowe, Lowassa na Mashinji; kubalini tu Rais Magufuli yupo vema!

    Ujinga mkubwa ni kuendelea kuiamini ccm mi akili yangu naijua mwenyewe
  9. kitinga jleonard

    JamiiForums Tanzania Baada ya mwaka mmoja sijabadili kauli yangu, Magufuli atatawala kwa kipindi kimoja tu

    Ukitaka uamini Magufuli atatawala miaka 5 tu kawaulize watu wa kagera
Back
Top Bottom