Recent content by Kitimalindo

  1. K

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Jamani ray msani kaenda kwa wasanii wenzake mwacheni waendelee kutoa burudani kwa watazamaji
  2. K

    UKAWA Simiyu kimenuka: Mama Regina Lowassa atoroshewa mlango wa nyuma

    Omba ushauri kwa mama yako kwa unayoyasema
  3. K

    Mimi ni CCM damu, kwangu mimi chama kwanza, maendeleo ya nchi na familia yangu baadae

    Mleta Uzi hongera kwa maono yako,japo unafumbo.
  4. K

    VIDEO: Leo nimechagua kununua hili gazeti lililokuwa chini ya JamboLeo likachomolewa, je ni lipi?

    Haina hadhi kuwa taasisi ya umma! Umma ndiyo sisi kwanini watuchagulie habari sisi tusio na vyama tunasoma matukio yote mema ili tujue chakufanya 25 Oct.mwandishi umepoteza uweledi hapo
  5. K

    Mgombea atoa machozi

    Usomi wako uko wapi kama elimu haijakukomboa? Unashindia majungu kuzungumzia MTU badala ya facts.hovyooo!
  6. K

    Salamu za Edward Lowassa kwa Taifa Stars

    Vijana chezeni mpira kwa moyo wa kivita.Achaneni na sifa za majukwaa Bali kelele zile ziwe chachu ya kukumbusha kiu ya watanzania.ushindi mwema vijana
  7. K

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Hata hao mabushmen ni binadamu hivyo Na wanafurahia hayo maisha sio we we mwenye mwenye madhara ukigusana na vumbi
  8. K

    Utofauti wa Dr Magufuli na Lowassa

    Wape sindano
  9. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Dr nakuheshim sana eleza kashfa zote za tz sio moja tu.
  10. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Siasa za tz sio za kujenga hoja za kuwatatulia wananchi shida zao na kuwaelimisha kuhusu maendeleo ya nchi yao Bali ni kutengeneza Mbinu hata kama chafu.
  11. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Mafisadi mengi tz wale wa escrow ni wazalendo? Hizi nyakati za propaganda hazna uthibitisho ukweli bali siasa majitaka
  12. K

    Waliopanda madaraja sekta ya elimu

    wapo ila unaongelea halmshauri wenzako wakusaidie
Back
Top Bottom