Recent content by Kitere

  1. K

    Ahmednasir says his life in danger, reports to CID

    I don't believe his shrewdness has been interfered now!!!!!!!
  2. K

    CAG abaini madudu vyama vya siasa

    Kila mwaka ofisi ya CAG imekuwa inabainisha ufujajii wa kutisha wa fedha za umma katika taasisi mbali mbali za umma. Pamoja na kuwasilishwaa bungeni bado utekelezajii wake umekuwaa mdogoo sanaaaaaa.. Jee ni bora kutokuendeleaa kuiwasilishaa katika vikao vya bunge?
  3. K

    Goodluck Ole Medeye kwamba 2015 anagombea ubunge Jimbo la Arusha kumng'oa Godbless Lema

    Kitendo cha jana bungeni cha mbunge wa Arumeru magharibi Mh Ole Medeye kumtisha mbunge wa Arusha Mh Lema kwamba 2015 atagombea ubunge Arusha Mjini ni kuhahahaa. Tangu atemwe katika baraza la mawaziri mzee huyuu ameonyesha kuweweseka na mpaka sasa hajakubaliana na kutoswa huko. Kutishia...
  4. K

    Kafulila afichua wizi wa Bilioni 200 za Tanesco BOT

    Tumeshuhudia kupitia mjadala wa bunge la bajeti, Mbunge wa Kigoma Kusini, Davidi Kafulila akitoa tuhuma nzito za ulaji mwingine wa fedha za umma kupitia Benki kuu unaohusisha malipo tata ya mauzo ya kampuni ya IPTL kwa Pan African Energy. Je jambo hilii litaendeleaaa kupitaa kimyaa tuuu kwa...
  5. K

    Disseration report

    Mimi ni ME
  6. K

    Disseration report

    Nahitaji mtu wa kuniandikia proposal na final research report ya undergraduate. Mwenye kuweza kazi ani pm
Back
Top Bottom