Kuna maisha gani kwa watanzania? unataka maisha yawe kwenye rehearsal mara ngapi? elimu duni, huduma za afya hoi, hakuna vifaa na madawa, nk. kumbuka mabadiliko ni muhimu na lazima ktk maisha ya binadamu , yakunyanyue au yakushushe, huwezi epuka hayo.
Jipange upya, migogoro ndani ya chama kikubwa cha upinzani, kina kuathiri vipi kimaisha ukizingatia huduma za jamii siyo bora, utawala washeria hakuna , ufisadi na umsikini unaokua kila siku? tafakuri hiyo migogoro inawenyewe. usipige ramli eti wakishika nchi itakuwaje? watakaa miaka 5...
Propaganda tupu, mimi si chadema lakini kama tunataka maendeleo ya kweli basi tujaribu kuwa wakweli na kukubali ukweli, bahati mbaya watz tumeharibika, kuishi kiujanjax2, wale kama wewe mnaomudu kupata basic needs zenu kwa kupitia mfumo tawala uliopo ndo mnaona kwamba nchi haiwezi kuongozwa na...
Wacha mzaha, unaruzuku gani wewe inayosababishia wananchi maisha magumu na ukosofu bora wa huduma za jamii, utawala usiofuata shaeria, (Richmond,epa tangold, meno ya tembo,) nk. nafikiri tuko wengi wagonjwa wa akili.
Mwambie nae akaibe , lakini kama ni mitaani watamchoma moto, hivyo itategemea akaibe wapi, mamvi alibarikiwa na malaika shetani na huo utajiri ambao unachangikia kwa 100% taifa lenye amani kukaa gizani.
Mambo ya ukuni yana kuumiza sana hahaha, tunaangalia hatima ya mbadala wa maisha ya watanzania , kazi na dawa kama kawa hahaha, cha msingi tunataka mabadiliko, tumetosheka na hali ngumu ya maisha duni pasipo sababu za msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.