Recent content by kitatange-R

  1. K

    Ukweli kuhusu kuzomewa kwa Kikwete

    Ndugu zangu, fikiria pia, Uchumi haukui kwa kumtegemea rais tu, Tujiulize mtu mmoja mmoja Tanzania anachangiaje pato la taifa? Tupo katika wakati mgumu wakati watu wengi tunataka mabadiliko bila kujali faida na athali zake. Rais wetu si kilaza kama wengine wanavyotaka kutuaminisha ila yuko...
  2. K

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Kasaidia kutoa mwanga, na pia ikumbukwe TISS haiendeshi kesi zaidi ya kushauri tu pale inapokuwa na taarifa na ushahidi wa kutosha! Ndugu zangu watanzania kwa jinsi nijuavyo Idara ya usalama ya taifa ipo karibu na watu na inahitaji watu, tatizo watu wanataka zaidi ya hapo. Nionavyo mie, Kuna...
  3. K

    Baraza la Usalama la Taifa

    We should not discuss who constitute the council as the institution was formed to work secretly and with undisclosed personnel, It is our right to discuss whether the council will have any impact to incidents purpoted to endanger the well being of our nation.
Back
Top Bottom