Recent content by KITANDU MOJA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Chadema ni Mahiri Kila Walipo?

    DON'T MAGUFULI TANZANIA
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaanza Hong kong kupinga masharti ya kura

    Hii safi sana then wale Policcm 25000 waje hapo na maboom yao, watz inabidi tujifunze kidai haki kwa maandamano. Kila mtu atoke nje na tukifanya hi yo lazima tutafanikiwa tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vigogo na Wanasiasa waliofaidika na Fedha za Ufisadi wa IPTL hawa Hapa

    Na wote waliopata mgao wanatangaza kugombea urais....kweli Tanzania ni shamba la bibi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tunachukulia tahadhari kauli ya mawakala wa CCM kuhusu; Mwenyekiti Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Slaa

    Hulu Ludovick sio wa kubeza anaonekana anajiamini na alichokisema...nashauri kurugenzi ya usalama walifanyie kazi ingawa naamini halina ukweli.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Eti nilienda bungeni kufuata fedha za matibabu!

    Hawakuzaliwa na mamako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

    That will never happen to Tanzania...probably tuipe miaka mingine 50 ya uhuru ila sio chini ya mkoloni mweusi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Kassim Hanga na Othman Sharrif

    Sasa Yule mtoto wa Hanga anayesema anataka kumshtaki Lissu aje hapa atuambie huyo baba yake alimzika wapi. Njaa mbaya mpka unadiriki kukana kifo cha baba yako kwasababu ya vipande vichache vya fed hua
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    kuna mtu atajifunga hapo, au wassira atasababisha deflection:peace:
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda akwama kwenye foleni Ubungo-Kibo lisaa lizima, usiku!!

    Akwame tu tena ningefurahi Kama Kama angepigwa manake tumechoka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    Sizitaki Mbichi hizii...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Live kutoka SAUT Mwanza mkitano wa hadhara wa kamanda Mbowe!

    Wewe ni mkabila mkubwa tena unaonyesha ni mdini,mbaaaaaaaaaav kabisa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    Kwani kuna ibara IPA katika Jamhuri ya muungano wa Tanzania imezungumzia Rais awe kwa awamu yani mkristo then muislam au atoke tanganyika anayefata atoke Zanzibar? Mbona sheria hivi inafuatwa na haiko kwenye katiba? So siwezi kushangaa hilo la makabila...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

    Aiachie na aiombe radhi familia ya babu seya!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Tufinyange tutupe kule...sielewi kwanini Zitto bado Yuko CDM mpaka leo
Back
Top Bottom