Recent content by kitama yetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanya kazi mfano CWT na TUCTA wamekaa kimya kuhusu waajiri wao

    /niunganishe na viongozi wa chama hicho maana nikiwapata tu kesho yake naandika barua ya kutambulisha chama hicho kwa mwajiri kuwa ndicho chama nitakachokuwa nawajibika kwao na kujitoa CWT a.k.a tawi LA chichiemu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanya kazi mfano CWT na TUCTA wamekaa kimya kuhusu waajiri wao

    Waachane na kukata fedha za watumishi buree
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanya kazi mfano CWT na TUCTA wamekaa kimya kuhusu waajiri wao

    Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa maana wafanyakazi wanakatwa asilimia fulani toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuendesha vyama hivi.cha kushangaza zaidi ni kuwa tangu awamu hii ya 5 iingie madarakani wafanyakazi wamekuwa wakinyanyaswa na wanasiasa hasa maRCs na DCs. Pamoja na hayo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

    Kama zako ziko kulia kwanini umeshindwa kutambua ukiukwaji wa haki za wafanyakazi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

    Kama zako ziko kulia kwanini umeshindwa kutambua ukiukwaji wa haki za wafanyakazi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana kilio changu cha ajira kwa walemavu kimesikika

    Kwa serikali ipi? Hii ya kutumia polisi kuwadhibiti walemavu wanaoendesha baiskeli kwa mikono, wasioweza hata kutembea,wanatumia virungu na mabomu ya machozi kwa walemavu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

    Wacha nao wakatumie kujenga viwanja vyao vya Mpira kama sisiemu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

    Mwl kura yako ndio ukombozi wako, kila baya tulilofanyiwa kutopanda madaraja, kutopewa nyongeza ya mishahara, kunyanyaswa na DCs na RCs, tuyahifadhi kwenye sakafu ya mioyo yetu na kamwe tusiyasahau ila kuanzia 2019 tuyafanyie maamuzi kupumzisha serikali tawala na 2020 tukamilishe kila kitu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

    Ni kweli kabisa tumemkumbuka sshemeji yetu JK, mtu wa tabasamu, roho nyeupe, mwenye kujali utu na juhudi za watumishi wa umma, akiahidi anatekeleza, kama haiwezekani anakupa sababu Ni miaka miwili sasa hatupandi madaraja, hakuna annual increment, matisho kwa watawala, kila anayetaka aonekane na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

    nawapongeza ndugu mohamedi malela mnec kupitia wilaya ya Tandahimba mtwara na ndugu simon berege mkufunzi wa shule ya uandishi wa habari chuo kikuu cha iringa kwa kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri. hongereni sana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndalichako anaonesha njia, tumuunge mkono

    kwa anayofanya Mh ndalichako na serikali kwa ujumla katika kurudisha ubora wa na heshima kwa elimu ya tanzania in sahihi kabisa ila kwa swala wanafunzi takribani 7000 wa chuo kikuu cha Dodoma waliokua wanasoma special diploma ya elimu kwa msomo ya sayansi kupewa masaa 24 kwa siku ya jumapili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    prof yupo sahihi kwani kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uanzishwaji wa vyuo vikuu visivyokidhi hadhi ya kuitwa vocational training
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    nazungumzia idara ya elimu
Back
Top Bottom