Napendekeza mishahara na marupurupu ya wabunge viangaliwe upya kwani vinatengeneza tofauti kubwa kati ya wabunge na wananchi wanaowakilishwa. Usibishe. Tunawaona wabunge wanavyotesa mitaani: migari ya nguvu, hoteli wanazofikia, magari wanayowanunulia marafiki, na orodha inaendelea. Mbele ya...