Binti Maria, Papason na CHADEMA wenzake walikuwa wanampa pesa nyingi Limbu ili aivuruge ACT. Sasa wamekwama anajidai eti tangu kini wasaliti wanakaa zizi moja. Tulieni basi dawa iingiie.
Wadau,
Katika ufuatiliaji zaidi nimegundua kwambakuna mwanachama wa CHADEMA ambaye aliguswa na kisa cha viongozi wakuu wa chamakususia mazishi ya Shida Salum aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA. Mwanachamahuyo baada ya kuumizwa na kitendo hicho cha viongozi wake, alimwandikia smsifuatayo...
Kuhusuviongozi wakuu wa chama (Mbowe na Slaa)
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa nawanaojiita makamanda wa CHADEMA na viongozi wao. Cha kushangaza zaidi ni pale Mbowemwenyewe aliposikika akisema kwamba walimkodishia Wenje ndege kwenda Kigomakukiwakilisha chama katika mazishi ya Marehemu...
Wanabodi,
Hali si shwari makao makuu ya CHADEMA. Maofisa wa chama katika Kurugenzimbalimbali makao makuu ya chama hivi sasa wanapanga mkakati mzito wa kufanyamgomo ambao utahusisha kufungiwa ndani ya ofisi yake kwa Katibu mkuu wa ChamaBabu, Mzee, Dr. Slaa.
Sababu ni ubaguzi uliokithiri...
Rafiki, nadhani umeamka vibaya! Tangu walipozungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza na mpaka leo kwny mikutano ya hadhara, viongozi wakuu wa ACT Tanzania wamesisitiza kwmb chama chao hakina muasisi. Ni Alliance. Ni umoja wa watanzania wengi wanaoliona ombwe ktk uongozi wa kisiasa...
Wana JF,
Leo naomba tumjadili kidogo mtu anayeitwa JosephineMshumbuzi a.k.a Mchumba wa Dr. Slaaaliyeshindwa kufunga ndoa na hicho kibabu chake baada ya mke mwenzie (RoseKamili) kuwakamata mahakamani. Huyu mwanamke ni tatizo na Slaa ameshindwakabisa kumdhibiti na sijui anatakaje urais ikiwa...
Wadau,
Kuna taarifa kwamba Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha (Amani Golugwa) kesho anasafiri kwenda Ngorongoro akitumia kofia ya mkoa na Kanda. Lengo la safari ni kwenda kukutana na wajumbe wachache wa kamati ya utendaji wilayani Ngorongoro na kuwatumia kutangaza kumfukuza uongozi Revocatus...
Uongozi wa kitaifa wa chama kipya cha siasa (ACT-Tanzania),utafanya Press Conference leo Jumatatu Machi 03, 2014, Lamada Hotel, Ilala saa 4:00 - 5:30 asubuhi. Kwa maelezo zaidi na mawasiliano soma attachment ambayo ni tangazo lao.
Pole sana bwana Makene. Nikujulishe tu kwamba tokea mwaka 2006 Wilaya ya Arumeru iligawanywa katika halmashauri za wilaya mbili yaani Wilaya ya Meru (jimbo la Arumeru mashariki) na Wilaya ya Arusha vijijini (Jimbo la Arumeru magharibi). Kama ulikuwa hujui kwamba katika CHADEMA Katibu wa Kanda...
Haya tena,
Jana tarehe 15/02/2014, kwa maelekezo ya Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willibrod Slaa, uongozi wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi iliitisha mkutano mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza na kuutumia kuwafukuza uongozi Mwenyekiti wa wilaya ndugu Stanley Lupondije na Katibu wake ndugu...
Wewe unayejiita Yericko Nyerere ni miongoni mwa wafuasi wa Lema ambao mmekuwa mkimdanganya sana Mwenyekiti wenu taifa kwa siasa za majitaka kwa kumwita mhaini kila anayetaka kuleta mabadiliko ndani ya chama.
Endeleeni kujidanganya tutaona chama kitakakoishia. Kama unajua CCM wana uwezo wa...
Unajua ukitaka kuwafahamu wapuuzi angalia maandishi yao. Kwa hiyo mtu akisema uadilifu lazima uwe kwa viongoi wote wa upinzani na wa chama tawala, ni dhambi. Ni kutokuwa na heshima kwa viongozi wake? Kwa kashfa ni kwa CCM tu, kwa Kiongozi wa upinzani kutumbua pesa za walipakodi kwa kwenda kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.