Jamani anaomba kujua ,halmshauri yetu imetoa ruhusaza watu kwenda masomoni kwa mujibu wa barua zao za kuwekwa kwenye mpango lakini cha kushangaza wote wamepewa barua inayo sema umeruhusiwa kusoma akwa gharama yako mwenyewe na halmashauri haitahusika na gharama za masomo yako, na mimi...
kijana anagalia kuwa maiasha ya kitaa ymekaaje kisha rudisha mawazo katika maisha kuso ma kisha ndiyo uende shule maana unaweza tena ukarudia shule halafu ukashindwa kuwa na maumivu kisha ukasoma kwa kujiamini kama mwanzo halafu ukabakia kukilaumu wizara ya elimu kwamba labda imekufelish...
Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga imefanya kitendo kibaya kwa walimu wa ajira ya mwaka 2010 grade iiiA , imeletewa walaka wa kuwalipa walimu fedha yao ya nauli na mizigo lakini haikuwalipa ,baada ya walimu hao kupata walaka huo na kuupeleka mahali pale na kudai haki yao walicho ambiwa nikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.