Nakumbuka natoka shule advance kufika maeneo ya mivinjeni kuna manzi nilikaa nae siti ya nyuma mm niko kati yeye dirishan,pembeni yuko mwanangu,naona mara kaweka mkono pajan kwangu,mara kaniwekea mkono begani,nikaona baharia hakun kuchelewa nikamstua mwana nenda siti ya mbele hapo niache na huyu...
Kwahiyo mapropesa kama kabudi na lipumba ndo wanatakiwa kumiliki watoto/madem/wanawake wakali lakini sio sisi manaharia?wacha ubaguzi.na sie pia tuna moyo.
Zingatia:papa/papuchi haina vidato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.