Habari,
Naamini taarifa za zuio kwa nchi yetu kushiriki katika Bahati nasibu ya kupata viza ya uhamiaji USA zimesikika kwa wananchi na serikali pia na pamoja na sababu za zuio hilo ambazo zipo hapa 2020 Travel/Visa Restrictions
Wengi tunatamani kusikia kauli ya serikali yetu pendwa kupitia...
Wadau habari nilikuwa naomba wanaojua wanielimishe faida na hasara za izo mitaala miwili katika elimu ya awali , msingi na sekondari achilia mbali swala la gharama. Je ni ipi bora kwa mtoto wa leo ili aweze kukabiliana na changamoto za maisha hapo baadae.
Mfano wa international ni kama IB...
Wadau nilikuwa naulizia Dr Kisenge aliyekuwa anafanya clinic ya watoto pale Sanitas amehamia wapi coz sasa nizaidi ya miezi miwili hamna clinic yake pale Sanitas.
Natanguliza shukrani
Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa gharama za kuchimba (drilling) maji maeneo ya Goba ni bei gani na chance ya kupata Maji yasiyo na chumvi ipo?
Naomba wataalam wanisaidie
Natafuta fundi mzuri wa Nissan X trail inasumbua Throtle sensor nimebadilisha sensor Ila bado inasumbua! Naomba kama kuna Mtu alikuwa na tatizo Hilo na alipata wapi fundi!
Gari ikipita kwenye rough road inazima zima na kuonyesha check engine.
Msaada kwenye tuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.