Recent content by kisuchangu1991

  1. kisuchangu1991

    Katibu Mkuu CHADEMA Dr. Vicent Mashinji asema mwisho wa CHADEMA kulalamika umefika

    Nadhani Wao wamechagua wao,na ninyi chagua wenu ili akasimamie,suala kila Siku kwenda mahakamani,kwa kweli chadema mnanichosha,kama vile nyie ni wababaishaji tu,wenzenu wanavunja sheria,nyie mnaimba sheria,nadhani mna matatizo pia,kikubwa
  2. kisuchangu1991

    Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa Acacia Nyamongo hatarini kupata maafa ya kihistoria

    Nadhani hujui nini maana ya madhara,na sifikirii kamwe kama kweli wewe unafaham vizuri mambo ya migodi,ni vyema urudi darasani Mwl akuoneshe madhara tunayo yazungumzia!!!
  3. kisuchangu1991

    Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa Acacia Nyamongo hatarini kupata maafa ya kihistoria

    Viongozi wetu ni lazima uimbe ndo wanasikia,ni lazima uwambia Mara kwa Mara ndo huchukuwa hatua,Mimi nimeplay my party!!!!
  4. kisuchangu1991

    Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa Acacia Nyamongo hatarini kupata maafa ya kihistoria

    Kuna kila sababu serikali kulifutilia jambo hili kabla halijaleta maafa makubwa. Wananchi wanaoishi kuzunguka mgodi wa North Mara(ACACIA) watapatwa na matatizo makubwa hivi punde kama Serikali haitachua hatua mapema. Mgodi uko busy na unaendeleza ulipuaji wa miamba bila kujali athari kwa...
  5. kisuchangu1991

    Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa Acacia Nyamongo hatarini kupata maafa ya kihistoria

    Kinga ni bora zaidi kuliko Tiba, sidhani ni vyema kufika kwenye maafa na kufukuzana kazi,
  6. kisuchangu1991

    Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa Acacia Nyamongo hatarini kupata maafa ya kihistoria

    Hatuhitaji sasa shahada au stashahada,hatuhitaji tena mganga wa kienyeji kutabiri,hatuhitaji tena maono ya manabii kuona.Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa uchimbaji wa madini aina ya dhahabu ulioko Mara TARIME Nyamongo (acacia) wako katika hatari kubwa ya kupata maafa ya kihistoria. Hii ni...
  7. kisuchangu1991

    DC wa Tarime, ni nani atakuamnini tena?

    Ni zaidi ya miezi miwili sasa imepita tangu waziri wa Nishati na madini mh Sospeter Muhongo alipotoa maagizo kwa mgodi wa north Mara gold mine (acacial,kuwalipa fidia ya ardhi yao wananchi wanaozunguka mgodi huo,kamati iliyoundwa na mh Muhongo ilipendekeza ifikapo mnamo tarehe 30/09/2016 mgodi...
  8. kisuchangu1991

    Prof. Lipumba Jipime hata Nyerere aliachia madaraka akiwa anapendwa na watu wengi

    Anaitwa nani? Wengine wanasema eti wanaitwa "bwana yule"
  9. kisuchangu1991

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nitamwambia ahadi yake aliyoitoa Nyamongo kuhusu malipo ya fidia tarehe 11/09/2016 alipokuwa anapita kuomba ridhaa ya wananchi wa Nyamongo kuwawakilisha ikulu ya magogoni,aliwambia wananchi wa Nyamongo kuwa,sitawavumilia wawekezaji wasiojali wananchi, nikiingia ikulu tu itakapofika mwezi wa...
  10. kisuchangu1991

    DC Tarime anayo hisa katika mgodi wa north Mara (ACACIA)?

    Ni nani anawatesa na kuwadhurumu haki watu wa Nyamongo,au viongozi hawalioni hili? Mgodi unavunja kanuni,taratibu na sheria za nchi viongozi wapo wanashuhudia
  11. kisuchangu1991

    Mbowe: Sidaiwi na NHC, namiliki jengo kwa Asilimia 75 kuanzia mwaka 1997

    Nimependa hiyo statement,ni kweli hata kama NHC Wangelikuwa wanamdai Mbowe angeweza kufanya hivyo
  12. kisuchangu1991

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Napenda sana siasa lakini siasa ya ushindani,siasa ya chama kimoja ni siasa mufilisi
  13. kisuchangu1991

    Ni nani atawakumbuka watu wa Nyamongo na maji ya sumu yasiwamalize?

    Ni muda sasa mgodi wa North Mara ulipoanza kuchimba madini katika eneo la Nyamongo, kabla ya shughuli za mgodi huo miaka yote hapakuhapakuwepo na malalamiko yoyote ya watu kubabuka ngozi na hata kupoteza maisha. Toka mgodi huo uanze kazi rasmi ya uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia...
Back
Top Bottom