Habari zenu G-thinkers? naombeni mtu yeyote aliye na documents iliyobeba sheria za barabaran za nchini Tanzania anisaidie jamani, i real need it. waweza kuni PM au kuiweka hapa moja kwa moja.
Natanguliza shukran zangu za dhati
wana jf kwanza polen kwa msiba uliotufika wa ndugu yetu sajuki.
Kwa heshima na taadhma naomba mtu yeyote aliye na andiko/dodoso lenye sheria za barabaran anisaidie kwani nahitaji kuzisoma ili napokuwa barabaran niwe well informed.
Asanten natumai nitasaidiwa.
Nawatakien usiku mwema!
Wana jf habarin za x-mass! natafuta gari used ya kununua ambayo iko na khali nzuri, isiwe zaidi ya cc 1500. kipaumbele kinatolewa kwa magari ya toyota.
kwa yeyote atakae wiwa kunisaidia aniPM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.