Recent content by Kissy methord

  1. K

    JamiiForums Tanzania Algeria scholarship 2015/2016

    Tuliomba hapo hapo TCU sema ilikuwa mwanzon sana na walivochagua wakakitoa,,ilikuwa week 3 aftr kuchagua,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Algeria scholarship 2015/2016

    kwa wale waliopata scholar ya algeria majina tayari yasharudi,kama umefanikiwa kupata ncheki 0714629417..ili tujuane na nikupe info.zaidi ya maandalizi....majina yamebandikwa wizarani kwenye notice board..
  3. K

    JamiiForums Tanzania TCU third round ipo tayari kwa wale waliokosa 1 na 2 round now

    hio nimeisoma kaka,,bt maana ya ile data base error ni kwamba bado haijaruhusiwa rasmi..ndio maana hakuna sehem wameandika make a third selection kwenye profile yako...Mi nafanya kusaidia tu,sihusiki kwenye hizi selections.
  4. K

    JamiiForums Tanzania TCU third round ipo tayari kwa wale waliokosa 1 na 2 round now

    yeah,,ndo ivo..bado hawajaachia 3rd round,,,af una add kiaje akat pale umeandikiwa 2nd round,,third round bado.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    WANAJAMII I'M SO MUCH THANKFUL FOR THE INFO.CONCERNING CIVIL & COMP,,, NADHANI SSA HIVI NI MIMI KUCHANGANUA KUTOKANA NA UELEWA WANGU KWA JINSI KILA MMOJA WENU ALIVOELEZEA.. THENX ALOT FOR THE HEART OF HELPING & GOOD ADVICE. GOD BLESS YOU WAKUU.:amen:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    yeye alikuwa anasoma coarse gani huko?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    Alaf me bado najiuliza,,kama huko algeria nikubaya,kwanni hao walioko huko ndo wanakuwa wakwanza kuwainfluence ndugu zao kuwa nao waende??..does it mean nao wakahustle au kuna beyond that?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    ASANTE BRO KWA KUNITIA MOYO,,,GOD BLESS YOU.:focus:
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Bugando (CUHAS) haya hapa

    ​Mbona MD haifunguki bblai
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    poa poa kaka,,,,nmekupata,,,:wave:
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    habari wanajamii forum...mimi nimechaguliwa scholarship ya algeria maths $ computer eng..na pia nimechaguliwa civil eng udism....naombeni mnishauri wapy pa kwenda na kwanni??,,,much love.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Scholarship za Wizara ya Elimu

    Me nimepata ya Algeria wakuu..kwa more nicheki 0658786166..for now bado nipo dar nafatilia passport wamesema mwisho alhamis
  14. K

    JamiiForums Tanzania Scholarship za Wizara ya Elimu

    Mbona me nlipata hio scholar na sasa nipo dar wamenipa muda wa kutafuta passport..kikubwa ni wwe kufika wizarani ujaze form kwanza...ukiongea nao kwenye sim utakata tamaa..hakuna kitu kirahis kijana...mi ilinibid nsafir usiku kwa lori frm Arusha...so it's a matter of taking a step
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tcu application

    Kwa wale wa advanced level ni 15th aug
Back
Top Bottom